Yaliyojiri mahakamani Mnyika vs Hawa Nghumbi case

Mama UNAYEMSHTAKI ANAITWA NANI?sijui! UNAMSHTAKI KWA KOSA GANI? hata sijui UNAUMRI GANI?sijui UNAAKILI TIMAMU?sijui
 
kesi hii bora ifutwe maana walalamikaji tu hawajajipanga , mtuhumu hajui hata anatuhumu nini, kazi kwelikweli.
 
Ubungo ni Mnyika maisha. Labda asigombee. Lakini kama nakumbuka vizuri Nape aligombea na huyu mama akashindwa. Ilikuwaje Nape akashindwa?
 
mda c mrefu haya nayo yatasikika arumeru.
Huyu bila kuwezeshwa kwa kweli hataweza.
Kama ana mtoto wa kiume pole hiz zimfikie.
 
Kweli naendelea kuamini kuwa ukiwa ccm akili zinakuwa zimejaa kinyesi!
Angalieni mama alivyojikanyaga, kumbe hata kiingereza ni ya kuokoteza!
Masikini CCM masikini HAWA
 
Ubungo ni Mnyika maisha. Labda asigombee. Lakini kama nakumbuka vizuri Nape aligombea na huyu mama akashindwa. Ilikuwaje Nape akashindwa?

Ha ha ha ha ha ha ha! Ni kweli Mkuu. Jamaa alishindwa kwenye kura za maoni za chama chao. Kama upeo wa huyo mama ndio kama hivyo alivyozungumza mahakamani na kwa upeo huo aliweza kumshinda jamaa na wote waliwahi kuwa wakuu wa wilaya, watu wenye mamlaka makubwa ajabu; na leo hii mmoja wao ni miongoni mwa watendaji wakuu wa chama chao - kweli Tanzania tuna ombwe la uongozi - tena kubwa.
 
Kweli naendelea kuamini kuwa ukiwa ccm akili zinakuwa zimejaa kinyesi!
Angalieni mama alivyojikanyaga, kumbe hata kiingereza ni ya kuokoteza!
Masikini CCM masikini HAWA

Mkuu hapo kwenye red wala sina shida napo sana, ni tatizo la kitaifa hata kwa baadhi ya maprofesa wetu. Kinachoudhi ni jinsi asivyo au anavyoshindwa kuitetea hoja aliyoipeleka mwenyewe mahakamani. Nina uhakika hata aongee kwa lugha ya mama yake (kikabila/kikwao) hamna kitu hapo - she is too shallow - na hapendi kukubali kwamba si tu hajui bali hata uwezo wa kuongoza jimbo kama Ubungo, kwa upeo wake huo, hana! OVA.

Akiona vipi akajaribu viti maalumu; jinsia yake inamlinda.
 
Anawatia aibu hata hao wapiga kura waliompa hizo kura elf 50,sijui wanajisikiaje kutoa kura kwa mtu boya kama huyu hawa nghumbi?
 
Wakili:je,,matokeo yaliyoko kwenye form namba 21 ambayo ni ya matokeo ya jumla ya kwenye vituo yanayoonyesha ulipata kura 50544 unamashaka nayo?
Hawa:Sina mashaka nayo
Wakili:Kama huna mashaka nayo basi hakuna tatizo kwenye ushindi wa Mh.Mnyika
Hawa:sikulalamikia ushindi bali utaratibu

KWA NINI ASIUSHITAKI UTARATIBU AU TUME YA UCHAGUZI KWA KUWA NDIYO INAYOSIMAMIA UCHAGUZI?
KWA NINI AMSHITAKI MNYIKA KWA DAI HILI?
 
Duh!! huyu mama siku ya mdahalo alisema ana masters mbili, alizipateje kama hawezi kiingereza, au alikuwa analiwa na walimu hadi kufiaka hapo. Aghhh!!!, inakera sana, mi nipo jimbo la ubungo akikatisha huku tutampiga mawe. sasa hivi Mnyika angekuwa arumeru sasa wanampotezea muda


Wakili: Unafahamu kingereza?
Hawa: Nafahamu cha kuokoteza!
Hiki jaman ndo kipi?
Angepita huyu leo angekuwa waziri.
 
Back
Top Bottom