Yaliyojiri leo Arusha - Picha na video

mchina amefanya kaz nzuri naona pcha co mbaya....i cnt comment abt Mbowe but kama ni swala la ulinzi bac ulikuwa wa ukwee
Ulinzi uliokuwepo siyo mchezo kuna polisi leo walijichanganya na CDM eti nawao wana CDM lakini mimi nawafahamu vizuri sana nikawa nachekatu...
 
Ahsante sana CW kwa kutuwekea picha hizi hapa jamvini. Ubarikiwe sana.
 
kulaleki mimi nahamia Arusha huko ndio kuna wanamapinduzi wa kweli, ndio maana JK hapapendi , kwanza watu kule wana pesa hali ya hewa nzuri wanaakili hawadanganyiki ,kulaleki cheki mikoa ya ruvuma huko kusini huko ccm inashinda kila siku wanajua zile kanga na kofia ndio haki yao kupewa hawajui kuwa nchi ina rasilimali nyingi wamejazwa udini kuwa chadema ni ya wachaga(NAPE) na wakristo huku wakiwafumbia macho kina Zitto na profesa Safari. kulaleki nipokeeni Arusha sooon!
thanks kijana wangu wa ukweli Crashwise.
 
Karibu arusha mkuu...
 
Wana JF,

Kweli Mtu kama mbowe analindwa utadhani ni mfungwa as if amefanya au kashiliki president assassination, Ulizi ulio tolewa kwa mbowe ingekua ni bora wakatulindie mali za nchi yetu kutorosha nje kama Magogo, Mchanga wa dhahabu ,Almasi na vinginevyo.

Serikali imeingia gharama ya juuu kweli me nisha waambia serikali ya JMK inatengeneza a Time BOOM nali limekaribia kufika

tuna mtizamo mmoja,,,sasa ndio ujiulize izi costs za kulinda mtu namna hii kisa cdm
ilhali MAFISADI PAPA wanakula nchi na wanaendelea kusisitiza tuwalipe wether we like it or not
afu mtu eti unajiita mtz mpenda maendeleo unaendelea kusapoti uhuni wa serikali tawala hii.
washughulikie haki za msingi za raia kule tarime,moro,visiwani,mipakani uko kila kukicha wtz wanakufa
afu mnasema vyama ivi ndo wanachafua amani???na kuleta vurugu???
wajinga na wala pesa za ufisadi ndio wenye kibri hii

amani ya ccm!!my foot
 
Ms alikuwepo. Hakuna kitu kama hicho. Mbowe kapelekwa kwa gari la taka la jiji la arusha hadi mahakamani
attachment.php
attachment.php

wewe ndio mwenye hilo bunduki hapo nini? mafisadi mmewashindwa mnajifanya mnahamia kwa wanaharakati , Mubaraka aliweka vifaru kibao katikati ya waandamanaji na kuwakatia access ya internet but still watu wakamnyoa na kwa updates ya sasa hivi source (bbc world news) ni kuwa Mubaraka akikutwa na hatia atakutana na hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuwapiga waandamanaji risasi mpo hapo?
 
Mkuu Crashwise umefanya poa. Nguvu ya umma kila pande, tena ikifanya kazi kwa maarifa na moyo wa uzalendo!
 
Back
Top Bottom