Yaliyojiri kwenye mazishi ya Sumari

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Habari nilizozipata hivi punde ni kwamba The late Sumari aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki anazikwa jioni hii kijijini kwao huko jimboni.

Rais Kikwete anaongoza shughuli hiyo ya mazishi.

PICHA (kwa hisani ya Edson wa JF):

attachment.php

attachment.php
 
Mbona msiba wa huyu marehemu hapa JF haujapewa uzito mkubwa kama misiba ya waheshimiwa wengine?
 
Huyo marehemu alishawahi kumwambia Dr Slaa kama hana hoja nyingine zaidi ya ufisadi wa EPA, hakae kimya.

Yeye ndio kakaa kimya sasa.

 
Siyo Mbunge wa Arumeru Mashariki, alikuwa Mbunge Mteule wa Arumeru Mashariki.
R.I.P. Sumari
Habari nilizozipata hivi punde ni kwamba The late sumari aliekuwa mbunge wa arumeru mash.anazikwa jioni hii kijijini kwao huko jimboni.Rais Kikwete anaongoza shughuli hiyo ya mazishi.mwenye up date zaidi atujuze tafazali.
 
Naskia wameahirisha mazishi kwa sababu ule ukarabati wa ile barabara iendayo kwa marehemu haujakamilika
 
Naskia wameahirisha mazishi kwa sababu ule ukarabati wa ile barabara iendayo kwa marehemu haujakamilika
 
CCM wafanya kampeni msibani,Lema ashangiliwa baada ya mazishi,Katibu CCM wilaya nusura achapwe makonde alipojaribu kumzuia watu wasimsalimie mbunge Lema, wana CCM wenzake washangaa.
 
ole medei akiwakilisha wabunge wa arusha amempiga kijembe lema kwa kusema eti wabunge vijana wajifunze kutoka kwa marehemu sumari.
 
Yaelekea huyu Ole Medeye kalewa cheo cha ubunge anayoishikilia kwa muda.
Kuna nini marehemu sumari alichofanya cha kuigwa??

Maana mimi cjaona kbs!

Labda ya kuwaweka wanainchi wapiga kura wake ktk wakati mgumu kimaisha tu!
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • IMG_0024.JPG
    IMG_0024.JPG
    83.2 KB · Views: 1,867
  • IMG_0117.JPG
    IMG_0117.JPG
    53.5 KB · Views: 1,847
  • IMG_0145.JPG
    IMG_0145.JPG
    65.1 KB · Views: 1,828
Back
Top Bottom