Yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM 30.04.2011

Wakati mwingine inabidi kujadili namna habari ilivyoandikwa na aliyeiandika. Ramadhani Semtawa, mwandishi wa Mwananchi ni rafiki yake mkubwa sana Zitto Kabwe na amekuwa akitumia urafiki wake huo kutengeneza stories za Zitto Kabwe(kama waweza fanya utafiti fatilia habari zote ambazo huziandika kuhusu Zitto)..huku nyingi ya habari hizo zikiwa zimandaliwa na Zitto mwenyewe (ama kimaandishi ama kwa maneno ya mdomo tu na kukubaliana namna habari iwe). Back to the issue,nafikiri Chama chochote ili kiimarike lazima kuwe na kutokukubaliana ili kukubaliana...hivyo si jambo la ajabu masuala kama hayo yanapojitokeza.
 
Hebu tuthibitishie hizo hayo maneno yako kwenye hizo red !
 
Zitto apinga mpango wa ununuzi wa magari ya Chama ya mitumba kutoka India yenye thamani ya Tshs 480 milioni. Ambapo Prof. Baregu ,Dr. Mkumbo na Mnyika nao wanaunga mkono hoja hiyo

Hazina za Taifa, safi sana Zuberi
 
CHADEMA haijawi kusifiwa lakini yanayoandikwa ndio yanayofanywa na CDM...

Na wasiwasi na uraia wako na kweli unalifuatilia gazeti hili la mwananchi. Limewabeba sana wakati wa uchaguzi, msipinge hilo hata chembe
 
Zitto apinga mpango wa ununuzi wa magari ya Chama ya mitumba kutoka India yenye thamani ya Tshs 480 milioni. Ambapo Prof. Baregu ,Dr. Mkumbo na Mnyika nao wanaunga mkono hoja hiyo

Hazina za Taifa, safi sana Zuberi
Kama unatembelea Humvee ukisikia gari ya mtumba toka India ni kichefuchefu! Wa mbili havai moja!
 
Na wasiwasi na uraia wako na kweli unalifuatilia gazeti hili la mwananchi. Limewabeba sana wakati wa uchaguzi, msipinge hilo hata chembe

GB

Unajua CDM wanadhani umaarufu wao unatokana na jitihada zao kumbe laa, umaarufu wao unatokana na frustration za wananchi kwa ujumla juu ya makosa madogo madogo ya serikali, lakini kwenye mabox ya kura hakuna kitu....kwa kifupi wananchi wanaitumia CDM lakini magamba ya CDM hayajajua.
 
Zitto apinga mpango wa ununuzi wa magari ya Chama ya mitumba kutoka India yenye thamani ya Tshs 480 milioni. Ambapo Prof. Baregu ,Dr. Mkumbo na Mnyika nao wanaunga mkono hoja hiyo

Hazina za Taifa, safi sana Zuberi

Yeah yeah mnajulikana kwa Magamba!
 
GB

Unajua CDM wanadhani umaarufu wao unatokana na jitihada zao kumbe laa, umaarufu wao unatokana na frustration za wananchi kwa ujumla juu ya makosa madogo madogo ya serikali, lakini kwenye mabox ya kura hakuna kitu....kwa kifupi wananchi wanaitumia CDM lakini magamba ya CDM hayajajua.

Simply a Holly crap!
 
Kukosoana ktk jumuia ya watu ni jambo la kawaida ili kuweka mambo sawa kabla ya kufikia lengo.Kwa ufahamu wangu magari mnayoyasema ni mabovu mengi ndio tunayoyatumia wananchi(wengi wetu)Kama chama hakina pesa za kutosha ni vizuri kama wwtanunua magari ya bei nafuu walau yasaidie ktk utendaji wa chama ktk kutekeleza majukumu.Suala la "ufisadi"ktk hili limetokea wapi!?mtoa mada nisaidie maana sijauona "ufisadi"unaoupigia kelele.
 
Genious brain! Unachotaka kutuambia ni kuwa CDM ni mafisadi kama CCM, na hivyo wajivue gamba kwa kuwamwaga akina Slaa na kumbakiza mwenyekiti Mbowe kama CCM walivyombakiza Mwenyekiti JK? Au wao CDM wam-mwage mwenyekiti wao ili CCM wajifunze kuvua gamba kuanzia kichwani?
 
Wee una akili sana...... Naona mko busy sana Magamba People.

shed-snake-skin-top-view.jpg

Kama hiyo habari huifahamu basi kaa kimya. Watu hadi wana video akiwahutubia wana CCM alipoongozana na mbunge wa CCM
rudi kwenye hoja chadema inafanya ufisadi na kuwatenga wanachama wasiotoka kaskazini kwa kuwasingizia ni CCM B.mbona ata obama kuna picha ambazo kuna wafuasi wa republicans unajuaje labda alikua anawavuta waje chadema
 
Kama hiyo habari huifahamu basi kaa kimya. Watu hadi wana video akiwahutubia wana CCM alipoongozana na mbunge wa CCM

Hata kama ni ukweli au uongo, ubaya wake uko wapi, kipindi Dr anahutubia Mbeya siyo kwamba umati wote ulikuwa CDM kulikuwa na wanavyama wengine pia.
 
Genious brain! Unachotaka kutuambia ni kuwa CDM ni mafisadi kama CCM, na hivyo wajivue gamba kwa kuwamwaga akina Slaa na kumbakiza mwenyekiti Mbowe kama CCM walivyombakiza Mwenyekiti JK? Au wao CDM wam-mwage mwenyekiti wao ili CCM wajifunze kuvua gamba kuanzia kichwani?

Hilo la kujivua gamba kwa kuwamwaga viongozi wao hawaliwezi, kwani ni wachache wenye utashi na moyo kama alio ufanya JK. CDM wao hawaliwezi hilo kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom