wapi SPIDERMAN?? jamaa huyu cjui ana program ya kuandika kama mtu anakuwa anaongea? maana speed yake ni kama machine
halafu huwa acomenti kitu, huwa anaandika kilivyotemwa/kilivyosemwa
Prf mukandara yupo.
Jenerali anamuua Mkapa na Chenge.
Ulimwengu amuumbua waziwazi bi celina kombani
Vip na prof Mkandara ataongea?
Prf mukandara yupo.
Asante sana Michelle, anawaponda kwa kubadili vipengele vya katiba ili wao na chama chao wafaidike.Anamuuaje tena Katavi,naombeni mtuelezee kidogo tafadhali,hatuwezi kuona????nakupenda ulivyo!:smile-big:
Jackbuwer mtupe hayo maneno yanayomuumbua si wengine hatuoni huku....Ulimwengu amuumbua waziwazi bi celina kombani