yAliYoJiRi kAnIsAnI kWeTu j'PiLi HiI, sI nDo PaDri aKa......

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Basi j2 hii 2kiwa katikati ya ibada, nlikuwa nimekaa na jamaa mmoja hivi pembeni yangu, tukiwa tunaendelea na ibada akaja jamaa m1 akakaa karibu na jamaa yangu, jamaa akawa ananuka fegi vibaya, jamaa yangu 2liyekaa naye akaropoka kwa sauti "We mpumbavu umevuta Bangi"
PADRI c akasikia naye kwa sauti akiwa mbele akasema "****** gani anatukana kanisani?"
Waumini AHAAAA....,...!!!
 
Back
Top Bottom