Yaliyojiri Bungeni leo: Februari 2010

Hatuna binge bali kikundi cha maigizo kikiongozwa na muigizaji wa kinyamwezi
 
Serikali ya awamu ya Nne imeonyesha udhaifu mkubwa kabisa! Marekani,Russia,Europe hata Uchina bado wanatumia sana Reli hili ni jambo la msingi, Bandari ziara na ahadi nyingi kwa nchi za maziwa makuu, Hivi ni serikali hii tu au ni hulka yetu kwa hiyo hata ikija nyingine hali itakua hivi? kisha Hata aibu awaoni!
 
The way I see, it was a high time for wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya JK kwa kuonyesha kiburi cha hali juu kwa kushindwa kutekeleza maagizo ya bunge. Lakini nani amvishe paka kengele?????????????????????????????
 
Muda mfupi uliopita bunge lilihitimisha mjadala wa richmond, huku wabunge wote wakiunga mkono hoja hiyo. hata hivyo samweli sita amemuonya vikali mbunge wa igunga rostam aziz kuacha umbumbu wake wa kutaka eti iundwe jopo la majaji watatu kupitia mapendekezo ya bunge kuhusu richmond.
ameonya vikali kuwa kama ataendelea kuzungumzia jambo hilo then atatumia vilivyo kanuni za bunge dhidi yake

aidha amemkumbusha rostam kuwa alikuwa na hiari kulileta upya swala la richmond ndani ya mwaka mmoja na kuwa muda huo sasa umepita,hivyo kwa vyovyote vile hana mamlaka tena kisheria kuzungumzia jambo hilo.

Naona Rostam alikuwa na mpango wa kutumia pesa zake kuwahonga hao majaji ambao wangeteuliwa ili wamsafishe. MUNGU ni mwema mbinu zake zimeshindwa.
 
leo nathubutu kusema EL na Rostam ni watu hatari sana na kweli ni ma strategist vibaya sana.to me they won the battle..Pole mnaojiita wapiganaji
 
mi naona Sita kajiumbua mwenyewe..haoni hata aibu kusimama na kuongea mitakataka aliyoiongea...hivi hii nchi iko serious jamani au naota
 
- Wanasema ukitaka kumtawala binadam mnyime elimu tu, sasa ninaelewa kwa nini baada ya Mwalimu elimu ilipuuzwa kumbe ilikuwa ni a plan na sasa ndio pay back time!

- Taifa lina wananchi millioni 45, lakini wanaoliliwa ni wapiganaji 11 tu! I mean a clear message kwa watawala kwamba tatizo lenu ni hao wapiganajai 11 tu, duh! elimu bwana kweli ni mali sana!

Respect.

FMEs!
 
Muda mfupi uliopita bunge lilihitimisha mjadala wa richmond, huku wabunge wote wakiunga mkono hoja hiyo. hata hivyo samweli sita amemuonya vikali mbunge wa igunga rostam aziz kuacha umbumbu wake wa kutaka eti iundwe jopo la majaji watatu kupitia mapendekezo ya bunge kuhusu richmond.
ameonya vikali kuwa kama ataendelea kuzungumzia jambo hilo then atatumia vilivyo kanuni za bunge dhidi yake

aidha amemkumbusha rostam kuwa alikuwa na hiari kulileta upya swala la richmond ndani ya mwaka mmoja na kuwa muda huo sasa umepita,hivyo kwa vyovyote vile hana mamlaka tena kisheria kuzungumzia jambo hilo.
sasa kama wamepitisha Rostam aendelee kulizungumza la nn? Wadanganyika kwa viini macho tu!
 
Muda mfupi uliopita bunge lilihitimisha mjadala wa richmond, huku wabunge wote wakiunga mkono hoja hiyo. hata hivyo samweli sita amemuonya vikali mbunge wa igunga rostam aziz kuacha umbumbu wake wa kutaka eti iundwe jopo la majaji watatu kupitia mapendekezo ya bunge kuhusu richmond.
ameonya vikali kuwa kama ataendelea kuzungumzia jambo hilo then atatumia vilivyo kanuni za bunge dhidi yake

aidha amemkumbusha rostam kuwa alikuwa na hiari kulileta upya swala la richmond ndani ya mwaka mmoja na kuwa muda huo sasa umepita,hivyo kwa vyovyote vile hana mamlaka tena kisheria kuzungumzia jambo hilo.
Hii ilikuwa bonge la movie ndefu. Nasikitika sana kuona eti watu tunashangaa na jinsi hili jambo lilivyokwisha. Hivi kuna namna nyingine hii picha ingekwisha wakati starring anajulikana na mnajua wote kuwa 'STARRING HUWA HAUWAWI"??
 
Hawa wanaojiita wapiganaji ovyo kabisa, wameshindwa hata kusimamia yale waliyoyaanzisha hapo mwanzo?! Sasa walichopigania ni nini so far?! Upuuzi mtupu! Lakini hawajui kama wao ndio wamewekwa kona kona mbaya kwa sasa, maana hawaaminiki tena kwa pande zote mbili, kwa wananchi (wapiga kura) na hao mafisadi waliowasafisha....kazi wanayo sijui watakimbilia wapi? YOU F*..... JUDAS!
 
Back
Top Bottom