Yaliyojiri bungeni Dodoma: Alhamisi tarehe 11 Septemba, 2014 - Kikao cha 38

mzee cheo anatakiwa apewe ulinzi mkali mnooooo, please serikali chuku hatua mapema kabla huyu mzalendo ajapata shida, (nyumbani kwekwe kuwe na ulinzi mkali kwani hawa wanojiita ukawa wanaweza kudhuri)
 
zezeta yule nani amuue/amdhuru?anaongea kwa hisia badala ya facts. Kudhuru kichaa nawe unahtaji kua kichaa. Hana hoja yule,sifuri kabisa. Mazezeta wenzake ndio wanaweza kumuona mzalendo.
 
mzee cheo anatakiwa apewe ulinzi mkali mnooooo, please serikali chuku hatua mapema kabla huyu mzalendo ajapata shida, (nyumbani kwekwe kuwe na ulinzi mkali kwani hawa wanojiita ukawa wanaweza kudhuri)
Nakubaliana na wewe Mkuu. Mzee kawakaanga sana hawa UKAWA. Ila huo ndo uhalisia
 
Akitoa mchango wake kwenye Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa TCD na UDP John Momose Cheyo anasema kuwa mchakato wa bunge unaendelea vema. Alisema kuwa wakati walipozungumza na Rais Kikwete, wajumbe wa TCD walikubaliana kuwa Bunge liendelee mpaka likamilishe kazi ya kutunga katiba inayopendekezwa. Kwamba wamekubaliana kuwa Bunge Maalum likamilishe kazi yake na ana imani kuwa kazi hiyo itakamilika. Anasema kuwa bunge hili haliendeshwi kwa kelele za barabarani bali linaendeshwa kwa sheria. Alitaja sheria hiyo kuwa ni GN 254 ambayo inataja uhai wa bunge hili kuwa unaishia tarehe 5 Oktoba 2014. Amempongeza Rais Kikwete kwa kuwa mfano wa kuigwa katika kuleta suluhu ya jambo hili.

Amesema kuwa kila mtu amerekodiwa jinsi alivyoongea wakati wa majadiliano hivyo ameomba zitengenezwe CD na kuzisambaza ili Watanzania wajue nini viongozi wao waliongea. Anawashangaa sana ukawa kwa kupiga kelele barabarani ilhali wakiwa na Rais hawakuongea wanayoongea mtaani. Anasema kuwa yale waliyoongea mbele ya waandishi wa habari ndiyo waliyokubaliana wakati wa mazungumzo. Anasema kuwa bunge hili lina watu makini na amewataka wabunge wajiamini ili wakamilishe kazi zao kwa wakati.

Anasema kuwa kuna mambo mengi mazuri yamezungumzwa kwenye bunge maalum hasa juu ya mambo yanayowahusu watanzania. Ametaja mambo hayo kuwa ni yale yanayowahusu wakulima, wafugaji, wavuvi nk. Pia amesema kuwa suala la muungano limepatiwa ufumbuzi. Kwamba Rais wa Zanzibar atakuwa makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu atakuwa Makamu wa Pili wa Serikali ya Muungano.
Kupitia Mchango wa John Cheyo, nadhani Watanzania watakuwa wamejua ukweli wa uhalali wa Bunge Maalum la Katiba kuendelea.
 
daah yan wanakula pesa zetu kwa nguvu na mjue huu ndo mwisho wenu kula pesa zetu hamtarud tena bungeni ya 6 cheyo na wenzake
 
Akitoa mchango wake kwenye Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa TCD na UDP John Momose Cheyo anasema kuwa mchakato wa bunge unaendelea vema. Alisema kuwa wakati walipozungumza na Rais Kikwete, wajumbe wa TCD walikubaliana kuwa Bunge liendelee mpaka likamilishe kazi ya kutunga katiba inayopendekezwa. Kwamba wamekubaliana kuwa Bunge Maalum likamilishe kazi yake na ana imani kuwa kazi hiyo itakamilika. Anasema kuwa bunge hili haliendeshwi kwa kelele za barabarani bali linaendeshwa kwa sheria. Alitaja sheria hiyo kuwa ni GN 254 ambayo inataja uhai wa bunge hili kuwa unaishia tarehe 5 Oktoba 2014. Amempongeza Rais Kikwete kwa kuwa mfano wa kuigwa katika kuleta suluhu ya jambo hili.

Amesema kuwa kila mtu amerekodiwa jinsi alivyoongea wakati wa majadiliano hivyo ameomba zitengenezwe CD na kuzisambaza ili Watanzania wajue nini viongozi wao waliongea. Anawashangaa sana ukawa kwa kupiga kelele barabarani ilhali wakiwa na Rais hawakuongea wanayoongea mtaani. Anasema kuwa yale waliyoongea mbele ya waandishi wa habari ndiyo waliyokubaliana wakati wa mazungumzo. Anasema kuwa bunge hili lina watu makini na amewataka wabunge wajiamini ili wakamilishe kazi zao kwa wakati.

Anasema kuwa kuna mambo mengi mazuri yamezungumzwa kwenye bunge maalum hasa juu ya mambo yanayowahusu watanzania. Ametaja mambo hayo kuwa ni yale yanayowahusu wakulima, wafugaji, wavuvi nk. Pia amesema kuwa suala la muungano limepatiwa ufumbuzi. Kwamba Rais wa Zanzibar atakuwa makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu atakuwa Makamu wa Pili wa Serikali ya Muungano.
Mzee CHEYO amekata mzizi wa fitina.
 
mzee cheo anatakiwa apewe ulinzi mkali mnoooo, please serikali chuku hatua mapema kabla huyu mzalendo ajapata shida, (nyumbani kwekwe kuwe na ulinzi mkali kwani hawa wanojiita ukawa wanaweza kudhuri)
Kweli kabisa unajua ukweli unauma sana CHEYO kawavua nguo UKAWA, Itabidi apewe ulinzi
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Mzee kawakaanga sana hawa UKAWA. Ila huo ndo uhalisia

Mkuu Lizaboni naona una ushabiki wa mpira wa Bongo..

Sema kawakaanga Wa-Tanzania..Ukawa ni sehemu tu..

Cheyo Lazima atetee Maana Kawekeza Zenj...kiji-Hotel chake Michamvi..

Haitengenezwi katiba ya kuwa komoa UKAWA..
 
Last edited by a moderator:
Ukawa ni wachumia tumbo. Hawana lolote la kuwaeleza watanzania wenye akiri. Waishie kuwadanganya wajingawajinga kwa masilahi yao binafsi. Mtanzania yeyote mwenye akiri hawezi kudanganywa na ukawa. Bravo Mzee Cheyo kwa kuudhihirishia umma unafiki wa ukawa.
 
Mh. Cheyo kamaliza shughuri. Viongozi wa UKAWA wanawadanganganya vijana hasa bavicha ambao ni mazwazwa waingie barabarani waswekwe ndani, wao na watotot wao hawapo. Bavicha jitambue, hao wanawapoteza,hawawaambii ukweli kuwa kila kitu kwenye mkutano kilikuwa NDIYO MZEE RAIS. Hata yote hayo ambayo yamekubalika alipandekeza Rais. Tatizo hamjui kwamba siasa ni sanaa kama sanaa zingine. Siasa ukiingia ukubwani kama Lipumba, Slaa na hata hawa wengine walioingia siasa kwa sababau ya baba mkwe- Mboye mnaenda kuongea na mtu aliyeanza siasa akiwa chipukizi hadi sasa na miaka 60 unategemea nini kama si ndio Mzee. Viongozi wa UKAWA semeni ukweli kabla hamjaumbuka kwa clips za Ikulu. Hongera Mh CHEYO KWA KUWA MKWELI NA MWAZI
 
Mjumbe wa bunge la katiba,John Chilighati amesema kufufua Tanganyika ni sawa na kufufua maiti iliyokufa miaka 50 iliyopita.Chilighati alienda mbali zaidi kwa kusema kazi ya kufufua maiti aliiweza Yesu tu.

MY TAKE:
Hivi nikisema huyu mtu karopoka nitakuwa nakosea?Hivi huu si ushahidi wa kuwa na viongozi wabovu na wasiothamini hata historia ya nchi yetu.

Nahakika kwa kauli hii ya Chilighati hata wazanzibari wanatudharau tena sana.

Mods naomba msiunganishe huu uzi ili watanzania wampime mtu huyu.
 
Katuni%2BLEBA.jpg
 
Karopoka sana. Kama anasema kuwa Tanganyika ni maiti, basi muungano nao una hatari ya kuwa maiti, kwa sababu hakuna Jamhuri ya Muungano waTanzania bila kuwa na Tanganyika na Zanzibar. Mfano mzuri ni ule wa binadamu walioungana. Kama ikitokea mmoja akafariki, bila shaka mwingine atafariki pia.
 
Nimemsikiliza huyu mpuuzi ameniuzi sana.Eti nchi yetu ni maiti!!!!
Kwahiyo sisi ni mizimu?
Zanzibar imejiunga na maiti?
Jamhuri ya Muungano ndio mochwari?
Ati tukitaka Tanganyika ifufuke tumsubiri Yesu ndiye mwenye miujiza ya kufufua wafu?
Mnatupeleka wapi CCM.
 
Hivi nyie huko dodoma mnajuwa kuwa mnatukera sana?
Haki ya nani ngoja tuje huko na bakora tu ndo mtaelewa kuwa tumewachoka.
Mnakula pesa yetu for nothing.......... grrrrrrp!!!!!!!!!!

Ha Mamdenyi ameokoka, ameamua kuwapasha maCCM wenzake!
 
Back
Top Bottom