Yaliyojili hospitalini leo

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Jamani tujuzeni basi nn kinaendelea mahospitalini,wengine tupo safarini
 
hospitali zote hakuna huduma kuanzia jana saasita usiku subirini vyombo vyenu vinavyolipwa na ccm vifunike funike baadae
 
hospitali zote hakuna huduma kuanzia jana saasita usiku subirini vyombo vyenu vinavyolipwa na ccm vifunike funike baadae

ni kweli mkuu,yaani sina imani kabisa na vyombo vyetu vya habari siku hizi,ni vema tukajulisahana sisi kwa sisi jf is great
 
Mungu tunusuru na hili janga katika wakati huu mgumu kwa MTANZANIA wa hali ya chini. Kwa sababu wao wakiumwa wanakimbia India Mungu. Nakushtakia Mungu ili uwape wanachostahili hawa mafedhuli. Amina.
 
mungu tunusuru na hili janga katika wakati huu mgumu kwa mtanzania wa hali ya chini. Kwa sababu wao wakiumwa wanakimbia india mungu. Nakushtakia mungu ili uwape wanachostahili hawa mafedhuli. Amina.

jamani tujuzane, ile haki ya mgomo wakati ule ilikuwa mbaya sana, kweli mkuu wa kaya anatupeleka peleka tu, this life tutajikuta tunakufuru
 
Kama mmeamua kugoma gomeni siyo mnatishiwa nyau mnarudi kazini ni heri kieleweke.
 
jamani tujuzane, ile haki ya mgomo wakati ule ilikuwa mbaya sana, kweli mkuu wa kaya anatupeleka peleka tu, this life tutajikuta tunakufuru
Hali sio nzuri mkuu. Halafu cha kushangaza mpaka sasa hv hakuna taarifa yoyote kutoka kwenye vyombo vya habari. TBC ndio Kwanzaa wameweka tamthilia. Hawa jamaa wanatusukuma pabaya.
 
Sio kugoma tu na milango ifungwe waende kula maisha dar live mana hii nchi haina uongozi watu wameshachukua chao mapema bora tupigane tu ili tueshimiane mazafaka.
 
Nimeongea na Dr mmoja Bugando ananambia wameanza rasmi mgomo leo na matangazo yalishatolewa zamani tu. Wagonjwa wapya, no bali wanahudumia wagonjwa walioko ndani tu. In short, OPD haina kazi kabisa!!!!!
 
Daa!watanzania wenzetu wanapokufa nani muuaji ktk hii vita jamani?
 
Jamani hii nchi vipi? Na sisi watz kwa nini tunafanywa wajinga kiasi hichi? Yaani siku zinakwenda lakini matatizo ni yale yale
Umeme hakuna
Maji hakuna
Barabara hakuna
Ajira hakuna
Kodi zinapanda
Na sasa huduma muhimu kama za afya ndo mgogoro.
Tuamkeni jamani
 
Mr'dhaifu tunogopa asje akawabadilisha kwajuisi ya magogoni,. Madokta kuweni na msimamo make hakuna nchi iliyoendelea bila kutoa sadaka watu kadhaa.
 
Kweli hizi ni siku za mwisho maana ilitabiriwa kuwa Siku za mwisho watu watakuwa ni wenye kupenda fedha, wenye kujipenda wenyewe. Yaani kweli madaktari wanagoma ili kuomba nyongeza tu ya mshahara ili hali watu wanakufa!!! Ajabu na kweli.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Subiri matusi ila huo ndio ukweli,wabunge wanajiongezea posho na nyinyi mnagoma muongezewe posho kwangu mlalahoi wote greedy tu...maslahi binafsi mbele,mnaacha watu wanakufa kisa mmekosa nyongeza ya posho,mkiongezewa mtarudisha uhai wa waliopoteza maisha?ndio taaluma yenu inavyowafundish?mnagoma ili iweje acheni kazi kabisa!mnagoma ili mpewe mshahra bila kazi?
 
Kama mmeamua kugoma gomeni siyo mnatishiwa nyau mnarudi kazini ni heri kieleweke.

N a wasije rudi kwa kulazimisha maana watafanya mauji mengi sana bila wananchi kuwa na taarifa.
maana mgomo baridi ni mbaya sana.

So wazingatie huo mgomo wao uwe wa kweli na wakiamua kurudi kazini warudi kwelikweli si kiunafiki na kuanza kuendeleza mauaji raia wasikuwa na hatia.
 
Subiri matusi ila huo ndio ukweli,wabunge wanajiongezea posho na nyinyi mnagoma muongezewe posho kwangu mlalahoi wote greedy tu...maslahi binafsi mbele,mnaacha watu wanakufa kisa mmekosa nyongeza ya posho,mkiongezewa mtarudisha uhai wa waliopoteza maisha?ndio taaluma yenu inavyowafundish?mnagoma ili iweje acheni kazi kabisa!mnagoma ili mpewe mshahra bila kazi?

kudai haki c makosa,ili mbegu iote na kutoa mmea bora,lazima ioze!
 
Sasa hivi kuna mama anasema madaktari ni sawa na Boko haram manake wamewambia waende nyumbani hakuna tibA JAPO VYOMBO VYA HABARI HAVIJATANGAZA HAO WA MAMA WANASEMA TUMESHAANZA KUHAMISHA WAGONJWA

Kama kweli mushahara uliopendwekezwa wa bwana mifugo,kilimo,sheria uko juu zaidi ya mwalimu na Madktari,nawaunga mkono madaktari wagome bila kikomo acha tufe tuu lakini watakao baki labda watawafanya waha watu wa serikali hii kuwa na heshima ya sekta ya afya
 
Back
Top Bottom