Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
Hali zenu JF!
Nimeona niiweke hapa hii taarifa kwa nia nzuri.
Nmekua nkisafiri mara kwa mara kwa usafiri wa anga...muda mwingine hua mchana...asubuhi...jion/usiku...ukaguzi hua shwari pale kwenye scaner!.
Lakin leo nmefika muda wa saa kumi na mbili jion...tena na mvua hizi za dar...nkawa nmechelewa muda wa ukaguzi...askari wakatazama kwa umakini wao Bag yangu...wakawa kama wanahisi kitu...sikua na hofu maana vitu vya humo katika bag yangu ndio vya kila siku ya safari.
Ghafla akaja askari akaniomba akague nkamruhusu maana ni wajib wao...kapekua pekua hata sijui alikua anatazama vitu gani? Maswali yake hayakuniridhisha japo nami nlikua namjib kama alivyouliza!
Mwisho akaniruhusu nka-lock bag langu...na kuendelea na taratibu zingine!
Nkahisi labda ni jion ndio wamekua makini au ...?
Nawakilisha!