Yalinikuta na mimi

Mabagala

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,480
325
Ilitokea nikanunua na mimi ile kitu kutoka kwa wafanya biashara wale wa usiku, kutahamaki asbh nimeamka salaale sikuti laptop yangu, simu mbili, dola 250 za kimarekani, na laki unusu ambazo alitoa kwenye wallet. Nimeamua nifunguke baada ya kaka malima nae kuamua kuweka wazi yaliyompata, ila akumbuke vizuri inawezekana na yeye aliondoka na mfanyabiashara akaamua kumlamba kaka mkubwa. All in all pole sana kaka malima. Mdogo wako baada ya hapo niliachana kabisa na izo mambo
 
aleyn unacheka? Kongosho usigune yalinikuta. Nawaonea huruma wale wote wanaonunua. Huwa natamani kuwapa tahadhari lakni ni ngumu maana hawatakuelewa
 
Ilitokea nikanunua na mimi ile kitu kutoka kwa wafanya biashara wale wa usiku, kutahamaki asbh nimeamka salaale sikuti laptop yangu, simu mbili, dola 250 za kimarekani, na laki unusu ambazo alitoa kwenye wallet. Nimeamua nifunguke baada ya kaka malima nae kuamua kuweka wazi yaliyompata, ila akumbuke vizuri inawezekana na yeye aliondoka na mfanyabiashara akaamua kumlamba kaka mkubwa. All in all pole sana kaka malima. Mdogo wako baada ya hapo niliachana kabisa na izo mambo

Unapaswa kuwa mteja bahili! Unapokwenda kwenye biashara hiyo tafuta neutral groung paspo na mavitu vyako. Biashara hiyo inataka uwe na ule mtaji mliokubaliana tu!
 
Hivi inakuaje unamwalika mfanya biashara na unampa access kwa vitu valuable kama hivyo?
 
Tatizo lenu baada ya kuuziwa bidhaa hamlipi papo kwa papo! Halafu mnanunua bidhaa mkiwa tungi sana hivyo inakuwa shida hata kujua huyo mfanyabiashara wa bidhaa adimu kama ana malengo ya ziada!

Tosha, umeshapewa bidhaa, si aondoke, kwanini akorome akiwa hapo!

mmhhh .... Come easy, ......go easy......! Tusijuane!

Dogo langu Malima, wenzio uwa tunapiga kimya...... hebu ona sasa inakugharimu hat unaibu wako!
 
hooo ho hoooooooo!yaliyomo yamo..........hahaaaaaa.....funguka baba...wako wengi dizaini yako walioumizwa.....heheeee heeeeeeee)e
eeeeee
 
wenzako hotel ya kufikia inakua kama nyumbani, malaya hakanyagi. Ukichukua malaya unapeleka huko kunakofanana nae, ukimaliza unarudi nyumbani!
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Hivi inakuaje unamwalika mfanya biashara na unampa access kwa vitu valuable kama hivyo?

Nashangaa hotel kama ile haina safe!, kama hamuwezi kuwa wajanja basi jaribu kutii masharti, kabidhi vitu vya thamani hasa information (laptop) na mihela, kwa mhudumu.
 
Unapaswa kuwa mteja bahili! Unapokwenda kwenye biashara hiyo tafuta neutral groung paspo na mavitu vyako. Biashara hiyo inataka uwe na ule mtaji mliokubaliana tu!
huyo anaenda na hicyo vifaa ili akaoshe kwa mtoto bila kujijua kuwa anaosha kwa mwizi
 
wajanja wakienda kwenye hio kitu hawabeb hata sim, wanauwa n vijipesa vya kulipia tu
 
rule number one,hakikisha baada ya game unamtimua zake haijalishi ni saa ngapi.
Rule number two,ukiona kuna umuhimu wa kulala naye mpaka asubuhi weka valuables zako counter na kwenye pochi bakiza ujira wake tu ili hata akiiba awe ameiba alichostahili kulipwa.
Kumbukeni maisha yao ni magumu halafu wewe unamuringishia mali zote hizo,lazima azibebe.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom