Yale 'malori' ya jk yakiyosomba watu haya hapa-jk in mtwara...

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
JK wakati akiwa Mtwara aliahidi kuwa Mtwara patakuwa kitovu kikubwa cha viwanda, ameahidi atajenga kiwanda kikubwa cha mbolea na cement chenye uwezo wa kutoa tani milioni 5 kila mwaka...
Kaahidi kiwanda cha Makaratasi chenye wawekezaji wa Kijapan,na kuna mpango wa kuotesha miti mingi ya makaratasi hapa Mtwara.
Katenga Shiling bil. 31 kwa ajili ya mradi wa maji
Kaahidi bei ya korosho kwa kilo ni shiling 1700 .
Gonga hapa kujionea mwenyewe.
 
DUHH! Mkuru anatoa mpaka ahadi alizota wakati mwanangu anazaliwa na ana miaka mitano sasa. Hivi kiwanda cha Mtwara cha simenti hakijajengwa hadi leo?? na hicho cha karatasi za mikarartusi nacho bado tu ????/ Mkuru aangalie diary yake maana aliahidi haya uchaguzi uliopita na leo anarudia tena!!!!! mweeeeee
 
Hatukatai ahadi zake lakini zimejaa uongo uliokithiri.
nyerere alisema kwamba anayekudanganya amekudharau.
 
JK wakati akiwa Mtwara aliahidi kuwa Mtwara patakuwa kitovu kikubwa cha viwanda, ameahidi atajenga kiwanda kikubwa cha mbolea na cement chenye uwezo wa kutoa tani milioni 5 kila mwaka...
Kaahidi kiwanda cha Makaratasi chenye wawekezaji wa Kijapan,na kuna mpango wa kuotesha miti mingi ya makaratasi hapa Mtwara.
Katenga Shiling bil. 31 kwa ajili ya mradi wa maji
Kaahidi bei ya korosho kwa kilo ni shiling 1700 .
Gonga hapa kujionea mwenyewe.

Angesema hivi; kwa kuwa CHADEMA inakusudia kuhakikisha wazazi hawalipii elimu tena, wakazi wa Mtwara watapata fursa kusomesha watoto ambao watawezeshwa kuelimika na hatimaye kuwa wataalam, na wengine kuajiliwa kama wafanyakazi katika viwanda vya mbolea na sementi vitakvyoanzishwa na wajapani wa wawekezaji engine ndani ya miaka 10 ijayo ambapo mpango huu utakuwa umezinduliwa.
 
JK wakati akiwa Mtwara aliahidi kuwa Mtwara patakuwa kitovu kikubwa cha viwanda, ameahidi atajenga kiwanda kikubwa cha mbolea na cement chenye uwezo wa kutoa tani milioni 5 kila mwaka...
Kaahidi kiwanda cha Makaratasi chenye wawekezaji wa Kijapan,na kuna mpango wa kuotesha miti mingi ya makaratasi hapa Mtwara.
Katenga Shiling bil. 31 kwa ajili ya mradi wa maji
Kaahidi bei ya korosho kwa kilo ni shiling 1700 .
Gonga hapa kujionea mwenyewe.

khe!mbona suala la kiwanda cha mbolea mtwara ni la siku nyingi:,vipi leo iwe ahadi yake kwenye kampeni?
 
Hana diary muungwana, he does not mean what he is promising, kesha sahau first law of liars don't forget
 
Kama CCM wanajua kuna maeneo watu hawatakuja wangefanyaje, mbinu moja wapo ni hiyo wape usafiri bure kwa kwenda na kurudi mkutanoni. Naamini hata vyama vingine vikubwa kama Chadema na Cuf pia kuna baadhi ya maeneo hufanya hivyo. Ndo mambo ya siasa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom