Kagamba kadogo wewe! Humtishi mtu, mambo ya CDM ni kwa ajili ya ukombozi wa Watanzania, Magamba mtalia na kusaga meno -
Hili la kufukuza madiwani nililisikia nikashangaa. Diwani alichaguliwa na watu hivyo si busara kufukuzwa na maamuzi ya mtu mmoja. Kama katiba ya CDM inampa katibu iwezo huo basi kipengele hicho cha katiba hakifai hata kidogo. Tunapinga katiba ya nchi kimpa rais madaraka makubwa iweje katiba ya Chama impe katibu madaraka ya aina hiyo? Hivi sasa tunapigana watu waliochaguliwa na wananchi wasipoteze viti vyao kwa sababu ya kufukizwa na vikao vya chama kwa kuwa hawa walichaguliwa na watu ambao ni wanachama wa chama cha aliyechaguliwa na wengine siyo wanachama hivyo basi madaraka ya kuwavua uongozi yarudishwe kwa waliowachagua na siyo mtu mmoja kuamua.
Mkuu Bukanga kumbe ulishabadili ile avatar yako. Safi sana. Mkuu mimi ni mnafiki kwa kuwa sina mahaba na chama nina mahaba na nchi. Kwa hiyo kama si mwanachama wa CDM nikisema baya la CDM utaniona mnafiki.
Good point.
Mkuu Mwita Maranya hilo la kufukuza viongozi nililisikia kupitia vyombo vya habari nikashangaa na wala sikulifuatilia. Ilikuwa ni wakati ule Dr. Slaa yupo ziarani huko Sengerema ama Geita. Sasa leo naliona hapa ndio nikaandika post hiyo kwa kuwa haitakuwa sahihi kwa mtu mmoja kufukuza watu waliochaguliwa na wananchi.Kimbunga,
Taarifa zitatolewa tu muda si mrefu, ni bahati nzuri au mbaya kwamba hakuna taarifa yoyote iliyovuja ndio maana unaona watu wanahangaika huku na kule hadi kuzusha ya kuzusha lengo lao wapate kujuzwa.
Tuntemeke nimemuona kama kawaida yake. Nimempa changamoto ataje diwani aliyewahi kufukuzwa na Dr. Slaa kwakuwa najua katibu mkuu hana mamlaka hayo lakini hajanijibu na thread imeshapotezwa.
Nimeona na wewe unataka kukubaliana na hoja hiyo, unamkumbuka diwani yeyote aliyefukuzwa chadema na utaratibu gani ulitumika kumfukuza??
Mkuu unaweza ukawa huna upande lakini unachangia. Kwenye demokrasia unachagua uwe upande gani. Pia mkuu ndio maana unaona kuna independents yaani wasio na chama japo hapa Tanzania haturuhusiwi kugombea bila chama lakini tunapiga kura. Hivyo si lazima uwe na upande. CCM wanasema wana wanachama millioni nne CDM na vyama vingine sijui lakini Watanzania wengi si wanachama wa vyama.How do u practice that coz our politics are so exclusively partisan?
Mi nina maono na ethics zangu binafsi na za tz lakini naangalia zainaendana na nani (itikadi) kisha najiunga ili zitekelezwe/zitimie. Sasa wewe kama una zako zinaegemea wapi?
Mkuu Mwita Maranya hilo la kufukuza viongozi nililisikia kupitia vyombo vya habari nikashangaa na wala sikulifuatilia. Ilikuwa ni wakati ule Dr. Slaa yupo ziarani huko Sengerema ama Geita. Sasa leo naliona hapa ndio nikaandika post hiyo kwa kuwa haitakuwa sahihi kwa mtu mmoja kufukuza watu waliochaguliwa na wananchi.
We Kimbunga, hivi hujui umuhimu wa maspika makubwa yenye watts 25,000? Yaani hao viongozi wa Sengerema wameharibu kwa kushindwa kuandaa vipaza sauti.Kwa hiyo ridhaa ya wana Sengerema lazima ipigwe chini.Kumbuka Nyerere alihutubia mikutano na maspika makubwa mno!!!!Mkuu Mwita Maranya hilo la kufukuza viongozi nililisikia kupitia vyombo vya habari nikashangaa na wala sikulifuatilia. Ilikuwa ni wakati ule Dr. Slaa yupo ziarani huko Sengerema ama Geita. Sasa leo naliona hapa ndio nikaandika post hiyo kwa kuwa haitakuwa sahihi kwa mtu mmoja kufukuza watu waliochaguliwa na wananchi.
Hapa issue siyo kufanya bila mwongozo. Hapa ni utaratibu wa kufukuzana. Demokrasia nzuri haiwezi kuruhusu mtu mmoja kufukuza viongozi waliochaguliwa na wananchi. Uwepo utaratibu wa kichama ambao vikao ndivyo vitafanya maamuzi. Kwa hiyo mama unaona ni sawa tu mtu mmoja kufukuza viongozi waliochaguliwa na wananchi? Naona wanachama wengine wamekanusha mtu mmoja kuwa na mandate ya kufukuza watu kwa kuwa wanajua demokrasia tunayopigania.kinacho kushangaza nini,yaani ata kama umechaguliwa na wananchi ufanye unayotaka bila muongozo wa chama kilichokupa ridhaa uachiwe tu uvuruge chama.
Sina uhakika na muongozo huo.
Mwita nimekuambia sikufuatilia nilisikia tu kwenye vyombo vya uabari na sija conclude hilo. Nimeweka angalizo kama kweli hilo lilitokea. Mkuu soma basi post kwa makini.Next time try to be attentive to details ili usiingizwe chaka. Magazeti yenyewe jambaleo na uhuru?
Achana na story za vijiwe vya majungu place.
Mwita nimekuambia sikufuatilia nilisikia tu kwenye vyombo vya uabari na sija conclude hilo. Nimeweka angalizo kama kweli hilo lilitokea. Mkuu soma basi post kwa makini.
kinacho kushangaza nini,yaani ata kama umechaguliwa na wananchi ufanye unayotaka bila muongozo wa chama kilichokupa ridhaa uachiwe tu uvuruge chama.
Sina uhakika na muongozo huo.
wee josophine kaa kimya mama!!! kaa kimyaaa!!!utaitukanisha familia yako bureeeee!!!!!...........au ndo unataka ujioneshe kua ndo mrs slaa???
kuna mama mmoja alikuwa demu wangu nika muacha kwa maneno kama haya..sijui ndiyo wewe?
wee josophine kaa kimya mama!!! kaa kimyaaa!!!utaitukanisha familia yako bureeeee!!!!!...........au ndo unataka ujioneshe kua ndo mrs slaa???
Mmh!! nahisi atakuwa na kideri cha kuku..lazima kitakuwa kifaduro hicho