Yako wapi Maamuzi ya Kikao cha CHADEMA?

Ukiondoa mgogoro wa hoja ya zito bungeni hoja nyingine zilizovuruga kikao hadi kuvunjika ni hizi:


1.Mwisho naomba kuhoji UWEPO WA GODFREY LEMA kwenye kikao cha KAMATI KUU kilichomalizika jana,kimsingi ameshapoteza sifa ya kuwa mjumbe wa kamti kuu tangu alipotenguliwa ubunge..Lakini Dr.slaa ulimwita kuhudhuria kikao kama nani?

.

Source:Tuntemeke
Godfrey Lema ndo nani huyo? Au umeamka nazo za jana?
 
Mambo ya Chadema ninyi yaacheni yatajitokeza siku moja. Wewe uliona wapi katibu mkuu anafukuza uongozi mzima wa Chama wa wilaya kama alivyofanya Slaa kule sengerema. Uliwahi au hata kusikia katibu mkuu aw Chama kinachojiita cha demokrasia akafukuza diwana uanachama na kupoteza udiwani aw wananchi bila kikao. Kwa mtaji huu lazima CDM kirefu Chake kiwe ni Chama cha dictatorship na maandamamo. Hata Chaga Development. manufesto haikuendeshwa i NGO. Msije mkashangaa yaliomkuta Mrema nccr-m yakatokea Chadema. Tuvute subra.
 
Kimbunga,
Hata mimi sijafikia hatua ya kuamini kwamba unatumiwa, nadhani nimelisema hilo tangu awali, labda hukunisoma vizuri.

Jambo la msingi ni kusimama katika ukweli kwani watu wanakusoma kila unachoandika, nadhani umeona comments za wadau hapa JF.

Whether uko ndani ya Chadema ama la, ufitini na uchonganishi achana navyo mkuu, rai yangu ndio hiyo tu. Otherwise tuko pamoja!

Mkuu Mwita kikao cha CC-CDM kimeisha? Kama kimeisha vipi taarifa ya maazimio au ndio siri? Umemuona Tuntemeke amepitia mgongoni mwa Botilo?
 
Mambo ya Chadema ninyi yaacheni yatajitokeza siku moja. Wewe uliona wapi katibu mkuu anafukuza uongozi mzima wa Chama wa wilaya kama alivyofanya Slaa kule sengerema. Uliwahi au hata kusikia katibu mkuu aw Chama kinachojiita cha demokrasia akafukuza diwana uanachama na kupoteza udiwani aw wananchi bila kikao. Kwa mtaji huu lazima CDM kirefu Chake kiwe ni Chama cha dictatorship na maandamamo. Hata Chaga Development. manufesto haikuendeshwa i NGO. Msije mkashangaa yaliomkuta Mrema nccr-m yakatokea Chadema. Tuvute subra.
Hili la kufukuza madiwani nililisikia nikashangaa. Diwani alichaguliwa na watu hivyo si busara kufukuzwa na maamuzi ya mtu mmoja. Kama katiba ya CDM inampa katibu iwezo huo basi kipengele hicho cha katiba hakifai hata kidogo. Tunapinga katiba ya nchi kimpa rais madaraka makubwa iweje katiba ya Chama impe katibu madaraka ya aina hiyo? Hivi sasa tunapigana watu waliochaguliwa na wananchi wasipoteze viti vyao kwa sababu ya kufukizwa na vikao vya chama kwa kuwa hawa walichaguliwa na watu ambao ni wanachama wa chama cha aliyechaguliwa na wengine siyo wanachama hivyo basi madaraka ya kuwavua uongozi yarudishwe kwa waliowachagua na siyo mtu mmoja kuamua.
 
Mkuu TUMBIRI umetualika kwenye ile thread ya TUNTEMEKE nikawa nataka kupost nikawa denied. Naona Mods wameifuta. Nadhani hii si haki wangeiacha tu tupate majawabu manake Tuntemeke huwa anakuja na vitu vya kujenga japo anaonekana ni msaliti.
 
Last edited by a moderator:
kwa vyovyote inaonekana hali haikua nzuri kwa wapenda mageuzi.!
 
Mkuu Mwita kikao cha CC-CDM kimeisha? Kama kimeisha vipi taarifa ya maazimio au ndio siri? Umemuona Tuntemeke amepitia mgongoni mwa Botilo?

Kimbunga,
Taarifa zitatolewa tu muda si mrefu, ni bahati nzuri au mbaya kwamba hakuna taarifa yoyote iliyovuja ndio maana unaona watu wanahangaika huku na kule hadi kuzusha ya kuzusha lengo lao wapate kujuzwa.

Tuntemeke nimemuona kama kawaida yake. Nimempa changamoto ataje diwani aliyewahi kufukuzwa na Dr. Slaa kwakuwa najua katibu mkuu hana mamlaka hayo lakini hajanijibu na thread imeshapotezwa.

Nimeona na wewe unataka kukubaliana na hoja hiyo, unamkumbuka diwani yeyote aliyefukuzwa chadema na utaratibu gani ulitumika kumfukuza??
 
Mkuu TUMBIRI umetualika kwenye ile thread ya TUNTEMEKE nikawa nataka kupost nikawa denied. Naona Mods wameifuta. Nadhani hii si haki wangeiacha tu tupate majawabu manake Tuntemeke huwa anakuja na vitu vya kujenga japo anaonekana ni msaliti.

Kimbunga,
Ile thread ya TUNTE content zake hazikuwa reliable ndiyo maana imefutwa. Kwanza alijikanyaga kwenye pale alipotaja jina la Mbunge ambaye hajawai kuwepo bungeni eti GODFREY LEMA! Pili anasema Kamati Kuu imemalizika Saa nane usiku wakati ni Uongo na Uzushi. Tatizo TUNTEMEKE anachokosea ni kushindwa kuzipeleka tuhuma zake kwenye Vikao husika vya chama na kuigeuza JF kama Kamati Kuu ya CDM!
 

Kimbunga,
Ile thread ya TUNTE content zake hazikuwa reliable ndiyo maana imefutwa. Kwanza alijikanyaga kwenye pale alipotaja jina la Mbunge ambaye hajawai kuwepo bungeni eti GODFREY LEMA! Pili anasema Kamati Kuu imemalizika Saa nane usiku wakati ni Uongo na Uzushi. Tatizo TUNTEMEKE anachokosea ni kushindwa kuzipeleka tuhuma zake kwenye Vikao husika vya chama na kuigeuza JF kama Kamati Kuu ya CDM!

nimekuwa mpinzani wa Tuntemeke il leo hii naweka bayana kuwa mengi anayoandika uyu mtu ni ukweli mtupu...kikao cha kamati kuu ni kweli kilimalizika saa nane usiku labda wewe ndugu yangu ndo hauna taarifa kamili,kuna jinamizi limemuingia docta slaa,mimi sio ccm au mamluki ila ni mwanachama hai wa cdm..dr slaa asipobadilika hakika cdm itakufa maamuzi ya kufukuza viongozi kwa maneno ya kusikia pembeni yatatugharimu wanacdm.Tumuombee sana dr slaa i real mean it!!
 
Mkuu, baada ya CDM kubana maazimio ya kikao yasivuje kila mtu anajaribu kuja na speculations zake. Jana ritz hata kabla ya kikao kuanza akasema kikao kimemjadili Shibuda, akaja huyu mnafiki Kimbunga mimi huwa namuona mnafiki tu na rafiki zake wanasema kikao kimejadili Zitto na Slaa what the hell is. Watu wa aina hii na wenye mawazo ya aina hii wanaojadili speculations huwa sina maneno zaidi ya kuwaita wapuuzi.

wengi waliokuwa kikaoni wameshindwa kutunza siri za kikao ndo maana ishu zimevuja tayari,na hii ni dhahiri wameshindwa kuvumilia matendo ya dr slaa.so unayoona watu wameandika khs kikao ni kweli,molemo ulikuwepo kikaoni na unashangaa jinsi gani watu wasivyo wasiri,hapo mjue ya kuwa maji yamewafika shingoni.
 
Basi Nape Leo umelifakamia Jamvi kweli kweli Na ma I'd yako mengimengii.. Nadhani hapo mezani umepanga Kama laptop tatu nne hivi.. Unatupa mashambulizi as if JF ndio CC ya CDM.
Kuna kitu nikwambie kwenye uchaguzi mkuu wa Rais Na Wabunge TZ , mwakani 2013 (manake Ccm 2015 haitafika) watanzania Wote hata wana CCM Wenyewe ukiwemo wewe hamtakipigia Kura CCM.. Hatakama CDM Haitakuwepo wananchi WOTE (i mean WOTE isipokuwa misukule ya chama )watapiga Kura zao UPINZANI in any leaf Party..
 
Ukiondoa mgogoro wa hoja ya zito bungeni hoja nyingine zilizovuruga kikao hadi kuvunjika ni hizi:


1.Huwezi kuamini kama kweli huyu ndiye Dr.slaa amefanya tukio hili..Ni tukio linalo husiana na Uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Iringa uliofanyika mwaka jana ambapo Mbunge wa viti maalumu CHIKU ABWAO alishinda nafasi ile ya uchaguzi na kutambulika kama mwenyekiti wa chama mkoa wa iringa.Lakini unajua ilikuwaje hadi limefika mezani mwa kikao cha kamati kuu?
Wakati wa uchaguzi ule wa mwenyekiti wa mkoa wa Iringa ambao Msingwa alikuwa ndiye mwenyekiti hapo awali, Chadema kupitia katibu mkuu wa chama Dr.slaa walimkopa Tsh.Million tano ndugu CHIKU ABWAO(ndivyo ilivyo wala usidout,inakuwaje chama kikope million 5 wakati kinaruzuku na misaada kibao?) kwaajili ya kusafirisha wajumbe kufika kwenye uchaguzi ule pale iringa makao makuu ya chama...Baada ya kokopa fedha hizo kwa CHIKU ABWAO,Dr.slaa akamteua CHIKU ABWAO kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ule pale iringa(mwenyekiti Taifa alikuwa hajui hilo)....Wakati huohuo tena Dr.slaa akamshawishi CHIKU ABWAO kuvuta fomu ya kugombea nafasi hiyo ya uenyekiti pale iringa(kwa maana hiyo,msimamizi mkuu wa uchaguzi ule naye alikuwa mgombea wa nafasi tajwa,Unategemea nini hapo?)..Kimsingi huu ni ukiukwaji wa Demokrasia na nimambo ya kitoto ambayo Dr.slaa nayafanya na wabunge wake wa viti maalumu(sijajua kilichonyuma ya pazia)...Mshindi wa uchaguzi ule alikuwa ni CHIKU ABWAO ambaye alikuwa ni msimamizi mkuu wa uchaguzi ule.Na Dr.slaa bila aibu akamtambua Chiku kama mwenyekiti wa mkoa wa iringa.Hii kiti imewagawa kabisa wabunge wawili wa chama kimoja(msingwa na Chiku) Msigwa analalamika imekuwaje lafu kama hii ifanywe kwa msaada wa katibu mkuu tena anayejiita Mtu makini?...Kusema kweli kamati kuu ulishikwa na Butwaaaaa kusikia mchezo huo, Huku chiku Abwao akitumbuka macho kwa aibu ndani ya kikao kile.
Nauliza umakini wa Dr.slaa upo wapi? Anaendesha chama kihunikihuni hivi kama anaendesha kampuni yake!!!!!


2.Jambo la pili lililo onesha ni namna gani Dr,slaa hafai hata kuwa karani wa hospitali,Ni ule ugomvi wake na watendaji flani wa pale makao makuu ambapo anataka Mchumba wake Josephine apate nafasi ya kazi pale makao makuu..Hakika Dr.slaa anaugomvi mkubwa sana Na Miwgamba pamoja na Anton komu(anashughulika na mambo ya fedha pale makao makuu) amemjengea chuki,kisilani na anamuundia zengwe la kila aina ili tu Mwigamba atoke pale makao makuu.
Ndani ya kikao cha kamti kuu,Dr.slaa alitoa kali ya mwaka baada ya kusimama na kusema simtaki mwigamba na nimeshamwambia anikabidhi ripoti ya Arumeru kisha aondoke zake,Na nukuu"ndugu wajumbe unaweza kuishi na mtu miaka mitatu usijue fani yake..kumbe Mchumba wangu Josephine ni mzuri sana kwenye mambo ya IT anaweza kutusaidia kufanya kazi za kukagua fedha hapa makao makuu baada ya mwigamba kuondoka" wajumbe wakamati kuu walilipuka kwa mshangao huku wakiuliza inakuwaje Mwigamba aliyeajiriwa kwa taratibu leo anafukuzwa bila utaratibu? kwani wewe Dr.slaa ninani hapa? mwigamba endelea na kazi,hatutaki makahaba ndani ya chama chetu,Huyo kimada wako aishie hukohuko nyumbani kwako...walisikika wajumbe baadhi.
Kusema kweli Dr.slaa anafanya kila namana kumuingiza Mchumba wake pale makao makuu,Anajaribu kila njia,Alijaribu kumfukuza ANton komu akakwama kwa sababu ya Gazeti la mwanahalisi pili kwa sababu Mwenyekiti na Anton Komu ni maswahiba. Mwigamba kusema kweli amekuwa msaada sana wa kuzuia upotevu wa pesa katika chaguzi mbalimbali kiasi kwamba kwenye kikao cha Sekretarieti wajumbe wote walimpongeza kwa ripoti safi ya Arumeru.
Nauliza Dr.slaa anataka kuleta mdudu gani ndani ya chama<mbona mke wa mbowe hajihusishi na mambo ya chama? Mbona Obama hamleti mke wake kwenye chama? Josephine amekupa dawa gani Dr.slaa unataka kuuua chama?

3.Kama ulikuwa hujui Dr,slaa,anaye wahi kupeleka ripoti au kesi yoyote ndiye aliyeshinda kesi kwa mijibu wa akili yake..Huwa hawezi kusikiliza pande zote mbili,yeye anahukumu bila kisikiliza..Ameshafukuza madiwani wengi kwa sababu hana utashi wa kusikiliza,Ameshafukuza Viongozi wa serikali za mitaa wengi wa chadema bila kusikiliza maoni yao.yeye anasema anaye wahi kuleta kesi ndiye mshindi.(nitawataja viongozi aliowatimua kanda ya ziwa,na sehemu mbalimbali bila kuwasikiliza..na nitawataja wale aliotunishiana nao misuli akawashindwa)nasubiri anijibu.
Mwisho naomba kuhoji UWEPO WA GODFREY LEMA kwenye kikao cha KAMATI KUU kilichomalizika jana,kimsingi ameshapoteza sifa ya kuwa mjumbe wa kamti kuu tangu alipotenguliwa ubunge..Lakini Dr.slaa ulimwita kuhudhuria kikao kama nani?

.

Source:Tuntemeke

kama hali ndoo hii sio chama cha siasa hicho. genge la ukahaba na uzinifu tu
 
Kuna haja ya kuhoji viti maalum walipatikanaje? isije kuwa kuna kaharufu ka karushwa kangono tukapoteza mabinti na mama zetu
 
Back
Top Bottom