Yako wapi Maamuzi ya Kikao cha CHADEMA?

huyo zitto wamfukuze aende kwenye chama chao cha waislam hiki ni chama chetu wakristo.
MKIGOMA kweli umefilisika

ukishasikia aende kwa wenzake kama hivi jua kuna siku watasema sisi ni KKKT yule ni RC maana baada ya muislam kuondoka chama kitabaki cha wakristu , hapo wataanza huyu RC,TAG,na sie ni wa malasusa hapo tena ushirika hakuna. likiisha hilo litakujawao si wa kanda yetu,likipita hilo watasema sisi tuna asili ya biashara hawa wengine wametoka wapi?
 
hapa kuna hatari kupewa kitu tofauti na maazimio ya kikao.isije ikwa ya pinda badala ya kutoa tamko la mawaziri yeye kaanza kuishangilia simba.!
 
Mkuu asante sana dhambi haita ishia hapo itakula mpaka chama kitazorota.Halafu chama ndo kitaonekana na udhaifu wa kidini ambao ndo chanzo cha cuf kufa mungu apishilie mbali.
MKIGOMA kweli umefilisika

ukishasikia aende kwa wenzake kama hivi jua kuna siku watasema sisi ni KKKT yule ni RC maana baada ya muislam kuondoka chama kitabaki cha wakristu , hapo wataanza huyu RC,TAG,na sie ni wa malasusa hapo tena ushirika hakuna. likiisha hilo litakujawao si wa kanda yetu,likipita hilo watasema sisi tuna asili ya biashara hawa wengine wametoka wapi?
 
Hakutakuwa na tamko lolote kutoka kwa Mnyika kikao hakikufanikiwa so acheni kufanya mambo ya kipuuzi nendeni mkasali yaone kutwa kushinda JF hata kanisani hamjaenda!!
 
Na kwa kuongezea ni Stupidity capacity of thinking!
Mkuu, baada ya CDM kubana maazimio ya kikao yasivuje kila mtu anajaribu kuja na speculations zake. Jana ritz hata kabla ya kikao kuanza akasema kikao kimemjadili Shibuda, akaja huyu mnafiki Kimbunga mimi huwa namuona mnafiki tu na rafiki zake wanasema kikao kimejadili Zitto na Slaa what the hell is. Watu wa aina hii na wenye mawazo ya aina hii wanaojadili speculations huwa sina maneno zaidi ya kuwaita wapuuzi.
 
Mkuu hapo kwenye erd and Bold, hawa jamaa pia wanajulikana kama Wachumia tumbo au tabia zao hazina tofauti sana na wale wa Dada wanaojiuza
 
Mkuu, baada ya CDM kubana maazimio ya kikao yasivuje kila mtu anajaribu kuja na speculations zake. Jana ritz hata kabla ya kikao kuanza akasema kikao kimemjadili Shibuda, akaja huyu mnafiki Kimbunga mimi huwa namuona mnafiki tu na rafiki zake wanasema kikao kimejadili Zitto na Slaa what the hell is. Watu wa aina hii na wenye mawazo ya aina hii wanaojadili speculations huwa sina maneno zaidi ya kuwaita wapuuzi.

Wapuuzi ni nyie CDM kujifanya eti mmeitisha CC yenu wakati CCM nao wameitisha yao mnadandia hoja then mmekutana mmeishia kulumbana km mmekunywa viroba nasubiria nipewe audio iliyorekodi mtanange wa kikao chenu nairusha live hapahapa niwaumbue vzr!
 
Situmiwi mkuu. Mimi simo ndanibya CDM wala CCM ninachofanya ni kuunganisha tu mambo baada ya kufanya ufuatiliaji wa karibu hivyo kama yana ukweli kidogo na uongo mwingi labda huwa nakosea kidogo analysis ila naamini ukweli huwa mwingi. Mimi siyo swa na Kijukuu cha MWakipande; yeye mnasema yuko ndani mimi niko nje kabisaa.

Kimbunga,
Hata mimi sijafikia hatua ya kuamini kwamba unatumiwa, nadhani nimelisema hilo tangu awali, labda hukunisoma vizuri.

Jambo la msingi ni kusimama katika ukweli kwani watu wanakusoma kila unachoandika, nadhani umeona comments za wadau hapa JF.

Whether uko ndani ya Chadema ama la, ufitini na uchonganishi achana navyo mkuu, rai yangu ndio hiyo tu. Otherwise tuko pamoja!
 
Wakuu Bukanga, Molemo na Feedback ninawasoma vizuri sana comments zenu.

Nimesema na Kimbunga pembeni tumefika mahali amegundua wapi amekuwa anapotoka na anasema hana ubaya wowote na Chadema.

Nadhani tumpe muda tuone kama anachosema ni kweli ama amejaribu kunihadaa, lakini bado ninampa nafasi ya kujisahihisha.

Tuendelee kukata issues, bila shaka atakuwa amewasoma na kuwaelewa sana.
 
Wapuuzi ni nyie CDM kujifanya eti mmeitisha CC yenu wakati CCM nao wameitisha yao mnadandia hoja then mmekutana mmeishia kulumbana km mmekunywa viroba nasubiria nipewe audio iliyorekodi mtanange wa kikao chenu nairusha live hapahapa niwaumbue vzr!
Same same people, ukiwaumbua then what next, upuuzi squared.
 
Wapuuzi ni nyie CDM kujifanya eti mmeitisha CC yenu wakati CCM nao wameitisha yao mnadandia hoja then mmekutana mmeishia kulumbana km mmekunywa viroba nasubiria nipewe audio iliyorekodi mtanange wa kikao chenu nairusha live hapahapa niwaumbue vzr!

Mkuu baada ya cc ya ccm kumaliza kila kitu cdm wameshindwa kutoa tamko loh
 
Ukiondoa mgogoro wa hoja ya zito bungeni hoja nyingine zilizovuruga kikao hadi kuvunjika ni hizi:

1.Huwezi kuamini kama kweli huyu ndiye Dr.slaa amefanya tukio hili..Ni tukio linalo husiana na Uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Iringa uliofanyika mwaka jana ambapo Mbunge wa viti maalumu CHIKU ABWAO alishinda nafasi ile ya uchaguzi na kutambulika kama mwenyekiti wa chama mkoa wa iringa.Lakini unajua ilikuwaje hadi limefika mezani mwa kikao cha kamati kuu?
Wakati wa uchaguzi ule wa mwenyekiti wa mkoa wa Iringa ambao Msingwa alikuwa ndiye mwenyekiti hapo awali, Chadema kupitia katibu mkuu wa chama Dr.slaa walimkopa Tsh.Million tano ndugu CHIKU ABWAO(ndivyo ilivyo wala usidout,inakuwaje chama kikope million 5 wakati kinaruzuku na misaada kibao?) kwaajili ya kusafirisha wajumbe kufika kwenye uchaguzi ule pale iringa makao makuu ya chama...Baada ya kokopa fedha hizo kwa CHIKU ABWAO,Dr.slaa akamteua CHIKU ABWAO kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ule pale iringa(mwenyekiti Taifa alikuwa hajui hilo)....Wakati huohuo tena Dr.slaa akamshawishi CHIKU ABWAO kuvuta fomu ya kugombea nafasi hiyo ya uenyekiti pale iringa(kwa maana hiyo,msimamizi mkuu wa uchaguzi ule naye alikuwa mgombea wa nafasi tajwa,Unategemea nini hapo?)..Kimsingi huu ni ukiukwaji wa Demokrasia na nimambo ya kitoto ambayo Dr.slaa nayafanya na wabunge wake wa viti maalumu(sijajua kilichonyuma ya pazia)...Mshindi wa uchaguzi ule alikuwa ni CHIKU ABWAO ambaye alikuwa ni msimamizi mkuu wa uchaguzi ule.Na Dr.slaa bila aibu akamtambua Chiku kama mwenyekiti wa mkoa wa iringa.Hii kiti imewagawa kabisa wabunge wawili wa chama kimoja(msingwa na Chiku) Msigwa analalamika imekuwaje lafu kama hii ifanywe kwa msaada wa katibu mkuu tena anayejiita Mtu makini?...Kusema kweli kamati kuu ulishikwa na Butwaaaaa kusikia mchezo huo, Huku chiku Abwao akitumbuka macho kwa aibu ndani ya kikao kile.
Nauliza umakini wa Dr.slaa upo wapi? Anaendesha chama kihunikihuni hivi kama anaendesha kampuni yake!!!!!

2.Jambo la pili lililo onesha ni namna gani Dr,slaa hafai hata kuwa karani wa hospitali,Ni ule ugomvi wake na watendaji flani wa pale makao makuu ambapo anataka Mchumba wake Josephine apate nafasi ya kazi pale makao makuu..Hakika Dr.slaa anaugomvi mkubwa sana Na Miwgamba pamoja na Anton komu(anashughulika na mambo ya fedha pale makao makuu) amemjengea chuki,kisilani na anamuundia zengwe la kila aina ili tu Mwigamba atoke pale makao makuu.
Ndani ya kikao cha kamti kuu,Dr.slaa alitoa kali ya mwaka baada ya kusimama na kusema simtaki mwigamba na nimeshamwambia anikabidhi ripoti ya Arumeru kisha aondoke zake,Na nukuu"ndugu wajumbe unaweza kuishi na mtu miaka mitatu usijue fani yake..kumbe Mchumba wangu Josephine ni mzuri sana kwenye mambo ya IT anaweza kutusaidia kufanya kazi za kukagua fedha hapa makao makuu baada ya mwigamba kuondoka" wajumbe wakamati kuu walilipuka kwa mshangao huku wakiuliza inakuwaje Mwigamba aliyeajiriwa kwa taratibu leo anafukuzwa bila utaratibu? kwani wewe Dr.slaa ninani hapa? mwigamba endelea na kazi,hatutaki makahaba ndani ya chama chetu,Huyo kimada wako aishie hukohuko nyumbani kwako...walisikika wajumbe baadhi.
Kusema kweli Dr.slaa anafanya kila namana kumuingiza Mchumba wake pale makao makuu,Anajaribu kila njia,Alijaribu kumfukuza ANton komu akakwama kwa sababu ya Gazeti la mwanahalisi pili kwa sababu Mwenyekiti na Anton Komu ni maswahiba. Mwigamba kusema kweli amekuwa msaada sana wa kuzuia upotevu wa pesa katika chaguzi mbalimbali kiasi kwamba kwenye kikao cha Sekretarieti wajumbe wote walimpongeza kwa ripoti safi ya Arumeru.
Nauliza Dr.slaa anataka kuleta mdudu gani ndani ya chama<mbona mke wa mbowe hajihusishi na mambo ya chama? Mbona Obama hamleti mke wake kwenye chama? Josephine amekupa dawa gani Dr.slaa unataka kuuua chama?

3.Kama ulikuwa hujui Dr,slaa,anaye wahi kupeleka ripoti au kesi yoyote ndiye aliyeshinda kesi kwa mijibu wa akili yake..Huwa hawezi kusikiliza pande zote mbili,yeye anahukumu bila kisikiliza..Ameshafukuza madiwani wengi kwa sababu hana utashi wa kusikiliza,Ameshafukuza Viongozi wa serikali za mitaa wengi wa chadema bila kusikiliza maoni yao.yeye anasema anaye wahi kuleta kesi ndiye mshindi.(nitawataja viongozi aliowatimua kanda ya ziwa,na sehemu mbalimbali bila kuwasikiliza..na nitawataja wale aliotunishiana nao misuli akawashindwa)nasubiri anijibu.
Mwisho naomba kuhoji UWEPO WA GODFREY LEMA kwenye kikao cha KAMATI KUU kilichomalizika jana,kimsingi ameshapoteza sifa ya kuwa mjumbe wa kamti kuu tangu alipotenguliwa ubunge..Lakini Dr.slaa ulimwita kuhudhuria kikao kama nani?

.

Source:Tuntemeke
 
Hoja ya zito kumtk wzr mkuu kujiuzulu haikuwa na baraka za chama zito alkw anahoji mamlaka ya Slaa kudai hayo more updates soon kuna kichwa kule ndani ndo kimenibonyezea hii kwanza

Huna kichwa, unabeba kiwiliwili tu.
 
kuna mama mmoja alikuwa demu wangu nika muacha kwa maneno kama haya..sijui ndiyo wewe?

Ndiye huyu mkuu!
Kanifuata kwenye meza yangu baa jana ananililia shida ya mahali pa kulala. Eti anadai 'walimwengu' wamesambaratisha ndoa yake; kumbe ulimtema kwa udaku!
Safi sana!
 
Wapuuzi ni nyie CDM kujifanya eti mmeitisha CC yenu wakati CCM nao wameitisha yao mnadandia hoja then mmekutana mmeishia kulumbana km mmekunywa viroba nasubiria nipewe audio iliyorekodi mtanange wa kikao chenu nairusha live hapahapa niwaumbue vzr!

Kagamba kadogo wewe! Humtishi mtu, mambo ya CDM ni kwa ajili ya ukombozi wa Watanzania, Magamba mtalia na kusaga meno -
 
Wapuuzi ni nyie CDM kujifanya eti mmeitisha CC yenu wakati CCM nao wameitisha yao mnadandia hoja then mmekutana mmeishia kulumbana km mmekunywa viroba nasubiria nipewe audio iliyorekodi mtanange wa kikao chenu nairusha live hapahapa niwaumbue vzr!

We chizi, nenda ukaokote makopo huko. Kama unajua ulikuwa na audio/ushahidi si ungeiweka hapa tupate cha kujadili kuliko kutuwekea uwongo mlio utunga huko?

Hii thread ulianzisha toka jana, na mpaka sasa hujaja na valid information. Kwa kukusaidia tu CC ya CDM ilipanga kukutana hata kabla ya CC ya magamba kuamua. Acheni upuuzi huu( ww,Ritz na Kimbunga), kila wakati kuja na hoja
zisizokuwepo kwa lengo la kuipotosha jamii.
 
kama kweli kumetokea mapishano ya kauli hii kitu naifagilia sana kwamba katika chadema kuna demokrasia na haogopwi mtu ukifanya madudu watu wanakupa live kwenye kikao bila kuangalia rangi yako hii inamaana hata wakiunda serikali mtu akivurunda anapewa live safi sana viva CDM kwani najua baada ya marumbano mwishowe mnatoka na kauli mmoja iliyoamuliwa na chama
 
Mkuu baada ya cc ya ccm kumaliza kila kitu cdm wameshindwa kutoa tamko loh

WW unafikiri CC ya CDM inakurupuka kama hiyo ya Magamba? eti ooh tumeamua kuwafukuza mafisadi (failed), wakaja na hii tumewapa mda wjipime then waamue wenyewe (failed), Mara ooh tumerudisha kwenye kamati ya maadili (failed) and the list goes on!!!!!!

Wanaokurupuka hapa ni kina nani?
 
Back
Top Bottom