Yajue yafuatayo kuhusu ubongo wa mwanadamu

naskia tunatumia asilimia 10 tu ya ubongo
Si kweli kwamba tunatumia 10% tu ya ubongo wetu na mpaka sasa hakuna ushaidi wa kisayansi uliotolewa na mwanasanyansi yoyote kuonyesha kwamba tunatumia 10% tu ya ubongo wetu.

uongo huu wa kwamba tunatumia 10% tu ya ubongo wetu ulianzishwa na watu waliowanukuu na kuelewa vibaya kwenye mojawapo za nukuu za Albert Einstein na Piere Flourens(1800).

wengine pia walimnukuu na kumwelewa vibaya William James(1908) aliyesema, "We are making use only a small part of our possible mental na physical resources"

pia kuna mwanabaiolojia,Lashleyalishikilia bango uongo wa 10% ya matumizi ya ubongo, yeye alikata kipande kidogo cha ubongo wa panya kutoka kwenye frontal cortex ya cerebral hemisphere, na kugundua kwamba baadhi ya matendo yanayoongozwa na kipande cha ubongo kilichokatwa yameweza kuonenaka tena kwa panya kupitia kujifunza hivyo akaja na hitimisho la 10% kwa mwanadamu kitu ambacho si kweli.
 
13.asilimia 20 ya joto lote lizalishwalo mwilini huchukuliwa na ubongo.

14.ubongo wa mwanadamu huwaza mara 50,000 siku huku asilimia 70% ya mawazo hayo ni hasi.

15.taarifa husafirishwa kwa mwendo wa maili 260 kw saa katika ubongo.

16. Ubongo hauna mfupa kama ilivyo kwa ulimi na uume
 
Hiyo ya kwanza inapoteza maana kwavile uzito kutoka mtu na mtu vinatofautiana sana. Sidhani kama mtu akiongezeka uzito toka 50kg hado 90kg vinaenda sambamba na ongezeko la uzito wa ubongo. Namba mbili ingetosha kabisa na override ya kwanza
Wala haijapoteza maana na wewe tu umeilewa vibaya.

kwa kawaida,kibaiolojia kuna growth na development,ubongo wa mwanadamu hauachi kudevelope mpaka mtu anapofikisha miaka 40(wengine wanasema 25) hii ina maana kadili uzito wa mtu unapoongezeka(develope) na ubongo nao unadevelope na ndio maana WASTANI wa uzito wa ubongo wa mwanadamu ni kilo 1.5

kwa vile ni WASTANI uzito huu unaonyesha umepatikana kwa mtu zaidi ya mmoja,chukulia mfano watu 6 wenye uzito wa kilo 50,60,70,80,90 na 100.

uzito wa ubongo wa kila mmoja ni 2% ya uzito wa mwili wake hivyo kwa mwenye uzito wa 50kg,uzito wa ubongo utakuwa=1kg
60kg=1.2kg 70kg=1.4kg
80kg=1.6kg, 90kg=1.8kg na 100kg=2kg sasa tafuta wastani wa uzito wa ubongo= 1.5kg
 
Shikamoo Mungu,hapa nagonga tusker kumbe ubongo una shughuli zake mweeeeeee ndio maana mdhambi mimi nasema napendwa na muumba bila sababu hii midude nnayokunywa naweza ku-dead kibwege tu oksijeni ikiamua kuvunga
 
Nipo kule ila mumie Mtiki...... anatamba kama vile headgirl haupo vile haaaahaaaa naogopa usije sema UKE nao hauna mfupa.
 
15.Ubongo wa mtu mwenye mikunjo mingi unakuwa na IQ kubwa kuliko mwenye mikunjo midogo.
 
ERICK DANIEL LUGENDO, ngumu sana kupima uwezo wa ubongo katika uhifadhi wa kumbukumbu(memory capacity) kwa sababu mbali mbali.

wanasayansi wamejaribu ku guess kwamba memory capacity ya ubongo ni petabaiti 2.5(2.5PB).

kwa peta baiti hizi inamaana itachukua miaka 300 ku record kipindi chochote cha televisheni kwa masaa milioni moja ili kinachohifadhi kiweze kujaa.
 
images (1).jpg
 
Back
Top Bottom