Yajue matukio ya mwaka 2011...pia matukio ya nyota yako kwa undani.

12-Samaki (Pisces) Feb 20-Machi 20.
Mwaka huu mashaka ni mengi kwenye mipango yako.Ahadi nyingi hazitotimia.Mipango mingi haitotekelezwa.Utaibiwa na kupeteza zaidi.Unaoshirikiana nao kwenye shughuli zako nao watakuongezea mashaka zaidi.Namba yako ya bahati ni 30.
KIPATO: Utayoyapangilia yatakuletea faida na kukuzidishia bahati. Safari ndefu au za mbali ndio zitakua chanzo kukuongezea mali.
MAPENZI:Unao pendana nao ni chanzo cha kuzidi huu upendo.Mizozo itahusu mali(kipato). au cheo chako.Hali yeyote itayo jitokeza inahitajika uwe mvumilivu.Utatuzi wahitajika!.
AFYA: Mafua yatkusumbua zaidi pia shinikizola damu. Na huo mgongo . Haya maradhi yatakua chanzo cha maumivu mengi mwilini.Maeneo ya kifua na magotini yatasumbua.
UADUI: Mizozo kwenye uhusiano ndio sababu kubwa itayokuongezea huzuni.Lipa madeni yako ili uepuka uadui na unyonge.
Hapa tu ndipo hawa jamaa wanaponiacha hoi, anajipinga mwenyewe!!!!:shock:
 
Hapo ungetazama vzuri ungejua nmeelezea vitu viwili .
Usiharakie kukosoa mwana jamvi.
Me nipo ajili yenu.
Uliza chengine?

Hua unatembelea nchi gani zaidi?
Naweza kukuitisha uje kwa ajili ya kazi zangu?
Au nikupe mawasiliano yangu itatosha?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom