Yajue mashirika makubwa yanayoongoza kwa ujasusi duniani

ISI hamna kitu..pakistan is a corrupted country intelligence yao hamna kitu kk..inaweza hata kuzidiwa na TISS
Tatizo mmekariri ujasusi ni maslahi ya taifa, la hasha ujasusi ni kama kazi ya kupata hela ili kujikimu kimaisha na kuwaandalia watoto wako na si wajirani maisha baada ya wewe kufa.
 
kwa comment hii Mkuu Bora ujipeleke mabwepande mwenyewe, kabla hata hawajakufata....
Kwani hawa majasusi wetu ndio wanapeleka watu mabwepande?
Maana nasikia hiyo ni kazi ya kile chama kinachoongozwa na matukio.
Huwa wanafanya hivyo ili wapate matukio ya kupiga kelele majukwaani na kuandamana
 
Kwani hawa majasusi wetu ndio wanapeleka watu mabwepande?
Maana nasikia hiyo ni kazi ya kile chama kinachoongozwa na matukio.
Huwa wanafanya hivyo ili wapate matukio ya kupiga kelele majukwaani na kuandamana
Mimi simo
 
Hao mliowaweka namba 1 juzi juzi tu wamedukuliwa na mrusi wanalialia mpaka saa hii
 
Hapo kwa RuSsia sio FSB ni SVR
Yupo sahihi Russia ni FSB hiyo SVR ipo ndani ya FSB ni special branch inayoshughulika na foreign intelligency na espionage kama vile CIA walivyo na SAD katika kutekeleza covert operations na MOSSAD walivyo na KIDON
 
Kwa Donald Trump ndio baba lao wooote, kuanzia CIA, FBI, MI, GIA etc
hawa NSA ndo usalama wa taifa wa US,
Wanaweza kunasa maongezi ya simu,fax,email duniani pote,ila mashirika yote 17 ya kijasusi ya marekani yako chini ya NATION INTELIGENCE.
Chini ya director of national inteligence James clapper,
japo kila shirika liko na director wake lakini bigboss ndo huyo clapper na anawajibika kwa rais
 
NSA ni la nchi gani?
hao ndo wazee wa data,cybesecurity na cyberwarfare wanaoperate ndani na nje ya marekani,
tofauti na CIA wazee wa clandestine operation nje ya marekani,wanakitengo maalum kwa kufanya mauaji nna kuteka watu katika blackops kinaitwa SAD(special Activities Department)
 
Zinafanana ila FBI inadili na usalama wa ndani CIA inadili na masuala ya mambo ya nje
under certain occassion FBI wanaweza kuoperate hata nje ya marekani ,wao wanadeal sana na mambo ya kihalifu,FBI anaweza kamata mtu yeyote anaevunja sheria ya marekani hata CIa anaweza kuswekwa ndani na FBI,
na pia hata Rais provided mwanasheria mkuu katoa ok kwa maandishi,

mkurugenzi wa FBI Hawezi futwa kazi na rais,kwahiyo hafanyi kazi kwa utashi wa rais bali anafuata sheria,
director wa FBI ana mhula wa miaka kumi kama sikosei ndo anaweza kutoka na kuteuliwa mwingine
 
Back
Top Bottom