Yajue Madhara ya Vipodozi vyenye Kemikali na Vipodozi Vilivyopigwa Marufuku

#EMT hivyo vya asili navyo ni majanga. Kwanza baadhi ya watemgenezaji wanachanganya na cream zenye viambata vya sumu ili unapopaka ung'ae..(na hiki ndicho wateja wengi wanachokitafuta).

Mfano mzuri hiyo mawese body cream.. ina kitu kimewekwa huko ni balaa.. nilinunua nikatupa huko..

Kuna haja ya wakaguzi kutizama hawa watu kwa jicho la ziada
 
hahahaah!!! halafu maelezo yako ya social media masturbation yaliniacha hoi, yaani mtu anajifungulia ID nyingine, moja anapost mwenyewe ID nyingine anamasturbate. lol. kazi ipo jamani kwenye hii mitandao.

Pia wapo wanaosema kuwa kuvaa makeup ni sawa na kufanya masturbation. So, unaweza kumkandia mwanaume anayekuja na uzi hapa juu ya tatizo lake la kupiga punyeto, huku wewe huwa unaufanyia mwili wako wote punyeto tena kwa kutumia vipodozi vyenye sumu kali.

Makeup is like masturbation

Women put on makeup for various reasons. Some are makeup artists, passionate about their art. Some do so for their jobs, as is the case with porn stars. Others so it to please their husbands, even if those already know how their wives look like without. And some do it because they are so disfigured that it's plain necessary to attract a man.

But it seems most women wear it because they want to cover their flaws. When all other women wear makeup, covering up the flaws we know they have, a woman can't afford to quit, or she will look bad by comparison. And this is the shittiest reason to wear makeup of them all (all the others being quite ok). I came upon the realization that it's like masturbation it many ways.

Masturbation is a stop gap for something else you wish you had, but don't have. So is makeup. Masturbation is "good at first, but in the end, you're only f.u.c.k.i.n.g yourself". Same with makeup. It temporarily feels good to look better with some simple tricks, but it brings no ongoing satisfaction. Because the look only lasts a day. But you (man) know that just because you jerked off, you haven't actually f.u.c.k.e.d anyone. And you (woman) know that just because you put on makeup, you haven't actually turned prettier.

Masturbation can addict you. So can makeup. Masturbation can make you stop trying to have sex with real women, and makeup can make you stop trying to look good on your own. What's that, dark eye circles from too little sleep and too much late drinking? Lets cover it up, no need to be healthier.

In the western world, most people don't associate masturbation or makeup with shame, but I think a great deal of people still experience shame when they do those things. Men who masturbate, because they feel like a sexual loser deep down. Women who put on makeup, because of the exact same reason.

Men have their no-fap movement, how about women have a no-makeup movement? Sounds an awful lot like a feminist anti-beauty thing, perhaps? I guess in a way it does, which is why what I have in mind is different. I wouldn't protest women dolling up for their men. Or for their porn work. However, there is no weighty reason to wear it for everyone else. They are not your husband, they are just strangers. Being clean and presentable should be enough.

Another thing I wish women could do, is not have to rely on makeup to look good. I think this is possible, but needs work, like makeup does. Lots of women say they don't look good without makeup, but the same say those who are inexperienced with makeup, and thus make mistakes. If you spent all the money you spend on makeup, on a dermatologist and some procedures (no, not necessarily surgery, there is other stuff), you'd probably be happier now.
Third, makeup raises the beauty of all women by a point or two, clogs everyone's pores, and thus no one gets ahead, and no one wins.

Chanzo: Makeup is like masturbation | Emma the Emo's Emo Musings
 
sio wanawake tu hata wanaume nw deiz wanajikoboa mf kuna yule msanii alikua na uhasama mkubwa na the late kanumba anaitwa ra#.. . yule anajichubua kuptiliza ukiangalia muv zake had kinyaa akicmama na dem unaweza sema mtu na dada ake angalien muv yake inaitwa too much mtaniambia wanume wanaojichubua n mashoga
 
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT, jambo/kitu chochote ukitaka kukilinganisha na kingine huwezi kukosa points za kufanya hivo. na ndicho alichokifanya huyo mwandishi. nikikupa quiz ya 10 marks utetee kuwa kupaka vipodozi ni sawasawa na kutoa mimba lazma utakuja na points zilizoshiba na pengine ukascore maksi zote.
 
Last edited by a moderator:
EMT, jambo/kitu chochote ukitaka kukilinganisha na kingine huwezi kukosa points za kufanya hivo. na ndicho alichokifanya huyo mwandishi. nikikupa quiz ya 10 marks utetee kuwa kupaka vipodozi ni sawasawa na kutoa mimba lazma utakuja na points zilizoshiba na pengine ukascore maksi zote.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia Vipodozi asilia ndo habari ya mujini. Kiafya vipodozi vinavyodaiwa ni vya asili vipoje? Vimepitishwa na vyombo husika?

mwali+singo.jpg


singo.jpg


Mwali Singo ni Mchanganyiko wa Unga za Asili ikiwemo unga wa Liwa, dengu na manjano. Unga huu unaweza kuchanganywa na maji ya liwa au ya rose kusugulia usoni na mwili mzima kuifanya ngozi yako ing'ae na kupendeza.

IMG_20131220_084303.jpg


Mawese Body Cream ni Cream iliyoandaliwa na mafuta ya asili ya mawese, inasaidia sana kung'arisha ngozi. Kwa wale walioharibika baada ya kutumia cream kali, cream hii ya asili itasaidia kuondoa wekundu na weusi wa machoni pamoja na michirizi iliyosababishwa na cream kali.

liwa.jpg


Maji ya liwa na Sabuni ya liwa vinasaidia sana kuondoa chunusi na mafuta usoni ndani ya wiki mbili tu unaona mabadiliko.

mchai.jpg


Mafuta haya ni mazuri sana kwa massage, ni malaini na yanaharufu nzuri mnooo.Yanasaidia sana kupunguza maumivu ya sehemu mbalimbali za mwili,harufu yake nzuri inasaidia sana kukufanya uweze pumzisha akili na kuondoa msogo wa mawazo.

Mkuu EMT nahutaji hayo mafuta ya massage. Nakupataje??
 
Last edited by a moderator:
Inatisha.

Lakini si kwenye vipodozi tu. Hata kwenye sekta zingine mambo ni hayo hayo tu.

Kwa mfano bidhaa za vyakula vilivyosindikwa vinavyotoka nchi za nje zipo nyingi tu ambazo huwa zimemaliza muda wake lakini bado huuzwa madukani.

Ni watu wachache sana ambao hujihangaisha kusoma tarehe ya mwisho wa ubora.

Well said Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
#EMT hivyo vya asili navyo ni majanga. Kwanza baadhi ya watemgenezaji wanachanganya na cream zenye viambata vya sumu ili unapopaka ung'ae..(na hiki ndicho wateja wengi wanachokitafuta).

Mfano mzuri hiyo mawese body cream.. ina kitu kimewekwa huko ni balaa.. nilinunua nikatupa huko..

Kuna haja ya wakaguzi kutizama hawa watu kwa jicho la ziada

Kazi ipo. Vipodozi wa ku-import majanga. Vya asili navyo majanga.

Itabidi kurudia enzi zetu zileeee ili miili yetu iweze kuwa tena na HD aka High Definition.

visiting_the_himba_people_fs.jpg


uu.jpg


HimbaTribeWomanChild.jpeg


zm_zoomin.2.3.jpg


ui.jpg


yy.jpg



himba_women_0.jpg


6880394801_24c8079153_z.jpg


himba+5.jpg
him1.jpg


393824261_e72838b9da_o.jpg
 
#EMT hivyo vya asili navyo ni majanga. Kwanza baadhi ya watemgenezaji wanachanganya na cream zenye viambata vya sumu ili unapopaka ung'ae..(na hiki ndicho wateja wengi wanachokitafuta).

Mfano mzuri hiyo mawese body cream.. ina kitu kimewekwa huko ni balaa.. nilinunua nikatupa huko..

Kuna haja ya wakaguzi kutizama hawa watu kwa jicho la ziada

vya asili havifai siku hizi, kuna classmate wangu alikuwa anaumwa kichwa, akatajiwa dawa za kimasai za asili. yaani siku hiyo hiyo aliyokunywa hali ilibadilika na bado kidogo angepoteza maisha, miezi karibia miwili alirudi kwao kwa matibabu.
 
vya asili havifai siku hizi, kuna classmate wangu alikuwa anaumwa kichwa, akatajiwa dawa za kimasai za asili. yaani siku hiyo hiyo aliyokunywa hali ilibadilika na bado kidogo angepoteza maisha, miezi karibia miwili alirudi kwao kwa matibabu.

Tatizo watu wanajali maslahi zaidi kuliko afya za wateja wao.
 
nikikupa quiz ya 10 marks utetee kuwa kupaka vipodozi ni sawasawa na kutoa mimba lazma utakuja na points zilizoshiba na pengine ukascore maksi zote.

Well, itabidi unipe marks tuu hapa maana it may well be true. Kuna kipindi kulikuwa na fununu kuwa sehemu za kichanga ambacho zimekuwa aborted kilikuwa kinatumika kutengenezea products kama za vipodozi.

Pia kulikuwa na fununu nyingine kuwa baadhi ya mahospitali (siyo hapa nchini) yalikuwa yanauzia makampuni magovi (baada ya kutahiriwa) kwa ajili ya kutengenezea cream inayozuia wrinkles.

The treatment, called Vavelta, has been developed by the British biomedical company Intercytex. What is radical about it is that it seems to rejuvenate and restructure ageing and damaged skin from the inside by repopulating the lower layers of the skin with millions of healthy young skin cells. Unlike fillers and Botox, it is claimed to be permanent.

Vavelta is a clear liquid in which tiny skin cells, called fibroblasts, are suspended. These are derived from baby foreskins donated by mothers at a hospital in the U.S. after routine circumcision.

The mothers and babies are screened before the foreskins, which would otherwise be discarded, are used. Once in Britain, they are divided into pieces less than a centimetre square and treated with enzymes to release the fibroblasts. These are grown in sterile conditions in labs.

article-0-027F4AB6000005DC-753_468x286.jpg


New skin treatment Vavelta injects patients' faces with cells cultured from the foreskins of newborn babies, which it says helps to permanently rejuvenate skin.

article-0-027F4ADA000005DC-933_224x423.jpg
article-0-027F4BC3000005DC-25_224x423.jpg


Wonderful results: Acne sufferer Karen Mollison (above), shown before (l) and after (r) her Vavelta treatment, says the injections helped smooth out her scars

Chanzo: Would you undergo an anti-ageing treatment using cells from circumcised newborn babies? | Mail Online
 
EMT Huu utafiti ni wa ukweli kabisa,ila kwangu haunihusu kabisa mi niko natural created by God sina haja ya kumkosoa Muumba kwa rangi aliyonipa.
 
Last edited by a moderator:
Ina mahusiano gani na mada husika o unapenda kubadili mada??

Nikirudi kwenye topic husika ni umasikini pia unachangaia maana rahisi ina gharama zake ndo kama hayo makansa n.k

Sidhani kama ishu ni urahisi pekee, wakumbuka wakati haya magonjwa ya kansa, sukari na haipatensheni yanaingia yalisemwa kuwa ni magonjwa ya matajiri?

Ishu ni kwa kuwa mataajiri ndio walikuwa wa kwanza kuamili mfumo wa maisha wa Kizungu, ambao ndio hatari kuliko chochote linapokuja suala la magonjwa ya tabia.

Si tu vipodozi, lakini pia vyakula na madawa tunayotumia. Ni vema tukajitahidi kuishi Kiafrika kadiri iwezekanavyo, ni salama zaidi na ni vizuri kwa afya zetu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom