Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
na kuna wengine wanasoma na bado wanapuuzia.Inatisha.
Lakini si kwenye vipodozi tu. Hata kwenye sekta zingine mambo ni hayo hayo tu.
Kwa mfano bidhaa za vyakula vilivyosindikwa vinavyotoka nchi za nje zipo nyingi tu ambazo huwa zimemaliza muda wake lakini bado huuzwa madukani.
Ni watu wachache sana ambao hujihangaisha kusoma tarehe ya mwisho wa ubora.