Yajue haya kuhusu kumpenda sana mtu unapomwona kwa mara ya kwanza

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,304
2,583
najua kama binadamu uliyekamilika ni lazima umewahi kukutana na mtu mahali popote na ukajikuta unampenda kupita kiasi..zijue sababu

1.MWONEKANO
kwa wanawake huvutiwa na u handsome na utanashati..wanaume huvutiwa zaidi na sura, rangi, umbo na mavazi

2.UKARIMU/USTAARABU MDOGO TU
hapa kunajumuisha matendo kama kukwambia kama umedondosha kitu, kukusaidia mzigo, kukuelekeza mahali, kukupa pole kwa mambo madogo kama kupiga chafya, kukohoa, kudondosha simu..kukuomba msamaha kwa makosa madogo kama kukukanyaga au kukuparamia kwa bahati mbaya.

3.MAFANIKIO YANAYOONEKANA
hii ipo sana kwa wanawake..huvutiwa na magari mazuri, pesa, simu nzuri na nyumba pia..hii ni kwa sababu hutamani kumiliki hivyo vitu kupitia huyo mwanaume

4.SAUTI
pia hii inaweza kumfanya mtu akampenda mtu wa jinsia nyingine..kuna nguvu kubwa ya upendo iliyo ndani ya sauti zetu

5.UCHESHI
nadhani mnajua ni jinsi gani ilivyovigumu kumsahau mtu ambaye umekutana naye kwa mara ya kwanza na mkaongea kama mnafahamiana kwa muda mrefu

smart cockroach
 
Siyo clean cockroach?
 
Mimi mwanamke kifuani bhanaa
Hata uwe na sura gani kama kifua kibovu unipati ng'ooo!!?
 
Back
Top Bottom