Yahya Mohamed na 'Songombingo' kwa Dr Ulimboka

Salaam Wakuu,

Hatua ya kuanzisha thread si mbaya, kama mnaweza kunisifia publicly si vibaya pia kunikosoa publicly. Yalikuwa maoni binafsi na hayakulenga kumdhihaki mwanahabari yeyote, ama kuufunga mjadala juu ya Dr.Ulimboka kwani si jukumu langu wala sina dhamana hiyo.

Inawezekana kabisa kuna kupishana katika mawazo juu ya jambo fulani, hakumaanishi mtandao wala kumtumikia mtu yeyote kwa manufaa binafsi.

Napenda kutambua na kuheshimu kupishana huko katika fikra, lakini pia kuomba radhi sana kama matamshi yangu yamekwaza harakati muhimu katika sakata hili.

Maangalizo na Ushauri umezingatiwa.

Ahsanteni Wanajamvi

Yahya M

Nilianza kuhisi umo ndani ya payroll inayowajumuisha Teo Makunga, P. Mtambalike, Katabazi, hadi ukatamka hayo. Hongera kuomba radhi, ila ingependeza pia kama ukiomba radhi na kwenye runinga.
 
Hatuendi hivyo maishani mtu amekiri kosa,kaomba msamaha amekuwepo hapa kabla yako why umtusi kumuita mjinga? Watu kama nyie mnakatisha tamaa na kuharibu JF hayo matusi peleka FB

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Hivi ujinga ni tusi au sifa ya mtu?
Yani ile hali ya kutokuwa na ufaham wa jambo fulani.
 
Salaam Wakuu,

Hatua ya kuanzisha thread si mbaya, kama mnaweza kunisifia publicly si vibaya pia kunikosoa publicly. Yalikuwa maoni binafsi na hayakulenga kumdhihaki mwanahabari yeyote, ama kuufunga mjadala juu ya Dr.Ulimboka kwani si jukumu langu wala sina dhamana hiyo.

Inawezekana kabisa kuna kupishana katika mawazo juu ya jambo fulani, hakumaanishi mtandao wala kumtumikia mtu yeyote kwa manufaa binafsi.

Napenda kutambua na kuheshimu kupishana huko katika fikra, lakini pia kuomba radhi sana kama matamshi yangu yamekwaza harakati muhimu katika sakata hili.

Maangalizo na Ushauri umezingatiwa.

Ahsanteni Wanajamvi

Yahya M

Big up mkuu.. Muachie Kibonde aendeleze upuuzi huu..
 
huyo yahya mohamed ni hopeless kabisa huwa nikimuona kwenye kipindi chochote startv huwa nahama ni mjinga mjinga fulani sijui ana elimu gani ila in short ni mtu anayejipendekeza bila kujali kama anamfurahisha huyo anayekusudia kujipendendekeza kwake. ni opportunist with very shallow analysis, i will come back wit details on my stand

Mwenyezi Mungu alishasema;- USIHUKUMU ILI NAWE USIJE UKAHUKUMIWA

Wote ni wanadamu na kuteleza na kukosea ni sehemu ya ubinadamu na ndio maan neno ''MSAMAHA'' likawepo duniani.
 
Yahya Mohammed: Umeonyesha ukomavu kwa kuomba radhi.Nakupongeza na iwe mfano pia kwa wengine inapotokea wamegundua kwamba wameteleza, kuomba radhi ni uungwana.Tuko pamoja
 
Salaam Wakuu,

Hatua ya kuanzisha thread si mbaya, kama mnaweza kunisifia publicly si vibaya pia kunikosoa publicly. Yalikuwa maoni binafsi na hayakulenga kumdhihaki mwanahabari yeyote, ama kuufunga mjadala juu ya Dr.Ulimboka kwani si jukumu langu wala sina dhamana hiyo.

Inawezekana kabisa kuna kupishana katika mawazo juu ya jambo fulani, hakumaanishi mtandao wala kumtumikia mtu yeyote kwa manufaa binafsi.

Napenda kutambua na kuheshimu kupishana huko katika fikra, lakini pia kuomba radhi sana kama matamshi yangu yamekwaza harakati muhimu katika sakata hili.

Maangalizo na Ushauri umezingatiwa.

Ahsanteni Wanajamvi

Yahya M

Heshima mbele mkuu, umejiongezea umaarufu kabisa hapa, Mmm, watu wachache sana ambao huomba msamaha mara baada ya kutereza, nilijizuia sana kuchangia huu uzi, cause nakufaham sana, hata Paul Mabuga kwangu mimi we unamzidi sana though leo kajizolea umaarufu, i think ni kwasababu ni boss wako, yeye huwa so Bias, wewe hua unajitahidi sana kua Neutral, Big up Mkuu Yahaya!
 
Back
Top Bottom