Yah. Viungo vya binadamu, upo ukweli katika haya ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Nijuavyo mie, binadamu amejengeka na viungo kadhaa mwilini mwake .
Mf. Pua , Macho , Maskio, Kidevu , Magoti n.k n.k
Aidha viungo husika , idadi yake inaendena na kanuni ya maumbile ilivyo.
Mathalan Macho hua mawili , likipungua moja taswira hubadilika ikaitwa Chongo, hayapo yote Kipofu , Pua moja, Meno 32 , vidole 20, Nywele sijui , Mdomo mmoja n. K n. K .
Nilichokikusudia hapa ni kuhusu viungo viwili , ambavyo ni
"Mashavu na Shingo"
Nijuavyo mimi Binadamu wana Shingo moja na Mashavu mawili .
Hata hivyo huku mitaani wako watu wanasema binadamu wana Shingo mbili na Mashavu ma4 Sina elimu sana ktk hili !
Wenye utambuzi mnipe mdadavuo kuna ukweli ktk hilo ?
 
Duuh kwa uelewa mdogo nilionao naungana nawewe kuwa binadam wanashingo moja na mashavu mawili shavu lakushoto na shavu lakulia.
 
Duuh kwa uelewa mdogo nilionao naungana nawewe kuwa binadam wanashingo moja na mashavu mawili shavu lakushoto na shavu lakulia.

Kwa taadhima natambua uwepo wako hapa Mtaly and thanks for shares .
 
labda shingo ya pili ni kiuno.....who knows......
na shavu la tatu ni kisogo....I guess.......
 
Kwa ujuzi wangu wa diploma ya viungo vya binadamu ni kwamba mwanaume anashingo mbili, mwanamke anamashavu manne.

Ahsanteni.
 
labda shingo ya pili ni kiuno.....who knows......
na shavu la tatu ni kisogo....I guess.......

Na mauzambarau yako yote haya kumbe una'guess! Afu baada ya ku'guess, kuna siku uta'microwave!
 
Sasa wewe unashangaa ya kusikia mitaani..!!Je ungeutana naye kama niliyekutana naye mimi ungeshangaaje..?? Sababu nilimkuta ana zote ya kike na ya kiume lakini muonekano wake ni wa mwanamke,na kwa mshangao akaniuliza shida yako hasa ni nini hapa..??We si unataka mwanamke na mimi ninazo zote,basi tumia inayokuhusu hii nyingine iliyobaki niachie mwenyewe usiniulize maswali...
 
Hizo zipo ila nzima hua ni 1
 
Back
Top Bottom