Yah: Maaandamano ya kupinga malipo ya DOWANS kesho...!

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Kwenu wanaharakati na wapiganaji wa haki za binadamu, tunaomba mtoe tamko kama kesho yale maaandamano yatakuwepo kama kawaida au la..hii ni kwa sababu hadi sasa mmetuacha njia panda...Wengine tushajiandaaaa...nashukuru.
 
Yeah umenena vyema Mpwa, kesho nitakua maeneo ya ubungo kusubiria, na wasipojitokeza naandamana mwenyewe ntakua nimevaa Tisheti rangi ya udhurungi na trauza ya chanikiwiti kuonyesha msisitizo! Halafu hawa sijui wanafikiriaje juzi wametangaza mgao umeisha, kumbe ndio umeongezeka, yaani hadi maeneo ambayo ulikua haukatiki mwanzoni! jana umekatika saa nne usiku hadi asubuhi naondoka home hakuna umeme tena eneo la jeshi! Pambaf kabis
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom