Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Utamjua tu usiwe na shaka! Ngoja atoke Guest atakuja kutoa shukrani zake!
Mpwa.....hebu nipe feedback manake najua jana walau....LOL
Utamjua tu usiwe na shaka! Ngoja atoke Guest atakuja kutoa shukrani zake!
hehehehe!hivi ni bia gani hii?:biggrin1::biggrin1:
Orait,......IMEPITISHWA>>>>where is Generation Y?:A S thumbs_up:
Utamjua tu usiwe na shaka! Ngoja atoke Guest atakuja kutoa shukrani zake!
Nimecomfirm naye yupo Guest kwa sasa atakuja hapa soon!Orait,......IMEPITISHWA>>>>where is Generation Y?:A S thumbs_up:
Ashindwe nini? kwenye practical intervyuu ya akina smiles au?Ushindwe....
Mi mtanikuta TopLand Bar nawasubiri!Kuna mwaliko wa kwenda magomeni Traverntine hotel alamba alamba alamba
Nadhani the Finest ndo yupo kwenye nafasi nzuri ya kutoa feadback! Ila hommie nashukuru kazi nilio kutuma umeifanya!Mpwa.....hebu nipe feedback manake najua jana walau....LOL
Mpwa.....hebu nipe feedback manake najua jana walau....LOL
Nadhani the Finest ndo yupo kwenye nafasi nzuri ya kutoa feadback! Ila hommie nashukuru kazi nilio kutuma umeifanya!
hehehe!ni kweli kabisa ndugu mdhamini!....kamata valuu na 8.6 mbili, then tumwendee hewani Finest atupe majibu kuhusiana na rule 3....si amekwenda kumfanyia practical intavyuu yule mpinzani mkuu?
Orait,......IMEPITISHWA>>>>where is Generation Y?:A S thumbs_up: