Yah:dhana ya maendeleo, kuondoa rushwa, na ukimwi katika mazigira ya sasa ni msitakabari mwafaka?

kupelwa

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
1,087
450
Ni kipindi cha miaka mingi tangu baba wa taifa aliyeanzisha mwenge wa uhuru kufariki.hata baada ya baba wa taifa kufariki, serikali ya CCM imendeleza dhana ya kutembeza mwenge miaka hadi miaka nchi nzima.Jana na leo mkuu wa mkoa wa dar, nimwemwona kwenye runinga akisistiza wananchi wa mkoa wa dar hasa walio jijini , kujitokeza kwa wingi kuupokea na kushiriki kikamilifu.Sababau ya kujitokeza na kuupokea , eti unabeba ujumbe wa kuleta maendeleo, kupiga na kuondoa rushwa na pia kupunguza au kutokomeza ukimwi.Inanipasa kushangaa katika ulimwengu huu, dhana ya mwenge wa uhuru, imefanya kazi gani ?wakati kwa mwaka jana bajeti ya serikali ilitekelezwa kwa 65% tu, ubadhirifu kila mahala, maisha mabovu yasiyoridhisha, wakati mwenge huohuo ulipita tanzania nzima huku haya yanatokea.Je kwa msitakabari huo ni namna gani dhana hiyo inaweza kuleta maendeleo na kuondoa rushwa , na pia janga la ukimwi? tafakari!!!!
 
Back
Top Bottom