Yah: DELL OPTIPLEX GX 620

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,033
3,944
Shalom. Juzi umeme umezimika mara mbili tatu Desk Top ikiwa kwenye umeme. Kuanzia hapo mashine imekataa kuwaka. Nikibonyeza kwenye power button inawaka rangi ya orange badala ya kijani iliyokuwa ikiwaka na hakuna kinachoendelea.Naombeni Ushauri. Kuna mtu ameniambia huenda motherboad imeungua?
 
Shalom,Pole sana BabaDesi.Hiyo model ni rahisi sana kufungua, check on the board kama kuna defect kwenye power inlets.Next time uwe na angalau stabilizer ama UPS.
 
Last edited by a moderator:
Shalom. Juzi umeme umezimika mara mbili tatu Desk Top ikiwa kwenye umeme. Kuanzia hapo mashine imekataa kuwaka. Nikibonyeza kwenye power button inawaka rangi ya orange badala ya kijani iliyokuwa ikiwaka na hakuna kinachoendelea.Naombeni Ushauri. Kuna mtu ameniambia huenda motherboad imeungua?

Simple soma manual ya kompyuta kujuaindicator yaorangeina maana gani.Ukishajuahapo unaweza
kupanga option za kutafuta sluuisho .Probaby Power supply imepatatatizo. sio MOBO

Chungulia na soma hapa
 
Mkuu pole sana kwa hilo tatizo. Hiyo rangi inaitwa "Amber" color. Systems za dell huwa zina rangi mbili tu, green na amber. Amber color inaonyesha kwamba kuna tatizo kwenye system hasa hasa huwa ni motherboard ingawa mara chache sana huwa ni memory (RAM). Green huwa inaonyesha kwamba system ipo okay hasa motherboard. Kulingana na uzoefu wangu, hapo tatizo ni motherboard. Jaribu kudisconnect devices zilizopo ndani kisha uconnect tena.
 
...NInawashukuruni kwa Msaada wenu. Ngoja nitafute bisibisi niingine kazini. nitaleta feedback!
 
...Bado sijafanikiwa! Nimejaribu kukorochoa lakini Comp bado ina madhila yale yale. Msaada tafadhali! Natanguliza shukurani...
 
...Bado sijafanikiwa! Nimejaribu kukorochoa lakini Comp bado ina madhila yale yale. Msaada tafadhali! Natanguliza shukurani...




hata mimi ninayo kama hiyohiyo
so ninachofahamu mimi nikuwa umeme ukiwa mdogo huwa inawaka hivyo hivyo
mpaka niweke poa
jaribu kuhama nayo kwenda room nyngine au deal power suply na waya zake!!!
Sjui kama nimekusaidia! Kama itakuwa poa
pm
 
Thx Gody, So una maana kusema kwamba ukihamia xtension nyingine ya Umeme Comp yako inafanya kazi kama kawaida?
 
Hiyo taa ikiwaka kuna mawili....huenda ni Power Supply imepata hitilafu au ni Motherboard...kujua ni kipi kati ya hivyo viwili ni kutafuta computer inayofanana na hiyo na kabadilisha vifaa.....
 
mi yangu GX 260, ilitokea hivyo hivyo..nikahangaika wee..mwisho wa siku tatizo lilikuwa ni processor ilipiga shot! nilijaribu kubadili vifaa kutoka kwenye pc ingine inayofanya kazi kimoja kimoja mpaka nikaidaka tatizo lilikuwa kwenye processor na ilikuwa inawaka hiyohivyo..wakati mwingine ukiwasha ilikuwa unasikia inanguruma sana(fan speed inaongezeka kwa kasi)..so nliyoreplace na processor ingine ikawa shwari..!!
 
Hapo badilisha motherboard, iyo ni signal ya motherboard kufa, au ukipata fundi mzuri mpe akutengenezee ur motherboard, au kama guarantee haijapita irudishe wakupe machine nyingne, hilo ndilo tatizo la optiplex hasa from china
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom