Yadaiwa ameuawa na kugonwa na treni

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"></td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
4568398.jpg

Vipande vya mwili wa mwanaume aliyegongwa na treni akiwa amelala juu ya reli</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top">
Hizi ni picha za kusikitisha za mwanaume ambaye jina lake halijapatikana ambaye alifariki dunia jana baada ya kugongwa na treni akiwa amelala juu ya reli maeneo ya keko darajani.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Mwanaume huyo inasadikika alifanya makazi yake chini ya daraja la keko ambapo reli inakatiza.

Kwa kuwa reli hiyo ilikuwa haitumiki kwa muda mwingi kijana huyo aliamua kufanya sehemu ya kulala na jana serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa safari ya treni ya kuelekea Kigoma , mwanza, mpanda itaanza baada ya matengenezo ya daraja lililokuwa limeharibika kutengenezwa,

Bila kujua kama kuna mtu tayari kichwa cha treni kilipita katika njia yake huku jamaa akiwa amepitiwa na usingizi katika reli na kukanyagwa hadi kufa.

Chini ni Linki ya picha za ajali hilo.

ONYO: Kama una moyo mwepesi usisumbuke kuangalia hapa chini

1045.jpg

1044.jpg

Mtu mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amegongwa na treni katika eneo la Keko darajani jijini Dar es Salaam, wakati alipopitiwa na usingizi juu ya reli. Kijana huyo inasadikika alikuwa akiishi chini ya daraja hilo ambapo kuna njia ya reli.

1043.jpg

1041.jpg

</td></tr></tbody></table>
 
Hivi Traffic Police huwa wanapima ajali za treni?? Naomba kufahamishwa
 
Trafiki wanapima hizo ajali, si hilo linaitwa gari moshi. Kweli maisha ni magumu mtu kakosa hela ya kupanga geto mpaka kaamua kulala relini au huyu alikuwa chizi?
 
nilisikia baadhi ya watu wakisema huyo alikua ni mgonjwa wa akili....
 
Huyo hajagongwa na treni,ila ni kwamba yeye ndo ameigonga treni.
 
Trafiki wanapima hizo ajali, si hilo linaitwa gari moshi. Kweli maisha ni magumu mtu kakosa hela ya kupanga geto mpaka kaamua kulala relini au huyu alikuwa chizi?

Mkuu hata mateja wengi wakipata ile kitu huwa wanalala popote fofo fofo kabisa. Tena ukipita utafikiri amekufa kabisa! Kizazi kinaangamia. Mdhara ya madawa ndiyo hivyo, kichaa, kuchanganyikiwa, kuua kabisa workforce, etc. Inauma sana.
 
mamaweeeeeeeeeeeeeeee poleni ndugu mliofiwa ila MAdokta lazima wamfanyie uchunguzi huyo huenda alishauliwa kitambo kwani hapo kuna vibaka kufa mtu
 
zingine hizo zinakuwa ni pombe, pia wakati mwingine watu wanamuua makusudi afu wanaenda kumuweka kwenye reli akanyagwe ili wasema aligongwa na treni....fanyeni utafiti kwanza...duniani kuna mengi..
 
Nimeona mkwara wa Onyo: "Kama una moyo mwepesi...." nikadhani picha zinatisha kweli kweli kumbe hamna kitu! Mungu ailaza roho yake mahali pema peponi. Amen
 
Back
Top Bottom