Yabainika magufuli anatumia sheria feki katika hifadhi ya barabara ubungo

we ni shenzi tuu kwani wapinzani wao hawafati sheria zilizowekwa kihalali na bunge?? i hate magufuli sana coz ana ubabe sana,my dady alisoma nae na alishawahi kuniambia kuna siku magufuli aliwafungia mlango wa bweni kwa ubabe wake kisa tuu alikuwa ni kiongozi shuleni,magufuli acha ubabe watu hawatafuti uraisi kwa jinsi hiyo

Hivi Kashaga; si nilikuona kwenye thread nyingine ukimsema sana huyu jamaa. Sasa nimeelewa. Ugomvi wa dady yako na Magufuli ni wa kwao. Kama una bifu na jamaa kihivyo unaonaje ukalianzisha na watoto wake? Au dady wako kakuomba umlipizie kisasi nini?
 
Katika majumuisho ya ziara ya Mkoa wa Kagera Waziri Mkuu ameonyesha dhahiri kuwa amestukia mchezo mchafu wa Waziri wa Ujenzi Mhe John Magufuli kutafisiri vibaya na kutumia sheria feki kuagiza mawe na mabango yanayoonyesha mwisho wa hifadhi ya barabara kuwekwa Mita 120 ndani ya ardhi na makazi ya, nyumba zilizoko ndani ya eneo hilo kuwekewa alama za X kwa makosa ili hatimaye zibomolewe. Katika gazeti la Majira la Tarehe 14 Machi 2011 Ukurasa wa Habari 3 Mhe Pinda amenukuliwa akisema kuwa "Hifadhi ya barabara Ilikuwa ni Mita 22 na ikaongezwa kufika mIta 30"

Sasa kama hali ndio hiyo ilikuwaje Mhe John Magufuli aagize mawe na mbango ya kuonyesha mwisho wa hifadhi ya barabara yapandwe Mita 120 ndani ya ardhi na makazi ya wananchi mwaka 2001? Na kuagiza nyumba zilizoko ndani ya eneo hilo kuwekewa alama za X mwaka 2010/1 tayari kwa kubomolewa?

Kwa hali hii bado mashabiki wa Magufuli hamataki kukubali kuwa Muumini wa Sheria Magufuli alikuwa kitumia sheria feki?
 
Nataka kufahamu. Sheria halali inasema nini kuhusu upana wa barabara ya morogoro kutoka ubungo hadi kibaha ni mita 22,30,60 au 121 kula upande? Naomba majibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom