Yaan mara kwa mara nilikuwa nikishidwa kujibu hii

Adam waTZ

Member
Jun 14, 2011
83
9
Ilikuwa ni chemsha bongo. Kwamba umepewa vitu vitatu ambavyo ni simba, nyasi au majani na mbuzi .sasa uvivushe mto kimoja baada ya kingine usivushe zaidi ya kimoja na uhakikishe vinafika salama vyote so kumbuka ukivusha simba ukaacha mbuzi na majani ina maana mbuzi atakula majani na kama ukivusha majani nakuacha simba na mbuzi ina maana simba atakula mbuzi. Hebu niambie wewe utavushaje hivyo vitu.
 
Utavusha mbuzi,utaacha cmba na majani,utarudi kuchukua majani then utayavusha utamchukua mbuz utarud nae,ukifika utamwacha mbuzi utamvusha simba,then utampick mbuzi
 
Mkuu hapa unachukua mbuzi halafu unamvusha wakati huo simba umemwacha na majani(simba hali majani),halafu unarudi kuchukua simba unamvukisha aliko mbuzi,ukimfikisha simba kule kwa mbuzi unarudi na mbuzi unamwacha simba mwenyewe,
ukirudi na mbuzi unamwacha upande yaliko majani halafu unachukua majani nakuvukisha upande wa simba,kwahiyo simba anambaki na majani(simba hali majani),then unakuja kumalizia kumvukisha mbuzi,unakuwa umemaliza.
 
Hili ni sawa na lile la kuvuka daraja na wewe hauna hela na kuna mlinzi,kuvuka daraja sh 100.
 
Mkuu hapa unachukua mbuzi halafu unamvusha wakati huo simba umemwacha na majani(simba hali majani),halafu unarudi kuchukua simba unamvukisha aliko mbuzi,ukimfikisha simba kule kwa mbuzi unarudi na mbuzi unamwacha simba mwenyewe,
ukirudi na mbuzi unamwacha upande yaliko majani halafu unachukua majani nakuvukisha upande wa simba,kwahiyo simba anambaki na majani(simba hali majani),then unakuja kumalizia kumvukisha mbuzi,unakuwa umemaliza.

daah mwana unaweza. kiukweli ilikuwa hot enzi hizo
 
Utavusha mbuzi,utaacha cmba na majani,utarudi kuchukua majani then utayavusha utamchukua mbuz utarud nae,ukifika utamwacha mbuzi utamvusha simba,then utampick mbuzi

yes. Well done, kweli tumekuwa na kiakili enzi hizo ni bonge la mtihani
 
unamchukua mbuz unamvusha cz cmba hali majan unarud unakuja unachukua majan unapeleka ukiwa unarud unarud na mbuz unaacha majan ukfka unachuku cmba unapeleka kisha unamrudia... hapo malzia sasa....
 
inanikumbusha ile ya kwamba bata mbele ya bata na bata nyuma ya bata ni bata wangapi?
 
Mh! Hii ni sawa na kuuliza km kuna wa2 10 ukimpiga risasi m1 watabaki wangapi.............
Maskhara hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom