Elections 2010 Ya Wyclif Jean na Siasa Za Tanzania

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Jipangeni ndugu.2020 maana sasa mmechelewa.Huwezi kutumia tobo dogo moja kuingia ikulu.Unahitaji mlango mkubwa.Jifunzeni toka kwa Wycliff Jean.
 
Wa kujipanga ni wewe uliyekurupushwa kujiunga na JF kwa ujira wa $%@@@
 
Hata milele na daima hakuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye yupo tayari kukipa chama cha kidini ambapo ni kinyume cha katiba kuongoza nchi. kimepambwa na waandishi wwa habari kwa sababu ya waandishi na wahahriri ni waumini wao. kura yangu no please. kura za wasio wanachama wa imani no please. weende kwenye nyumba zao za ibada. kwa hiyo hakuna cha 2020 wala 20000
 
Kuna watu wehu sana jamani.Hivi unamkatia mwanao tiketi kuingia disko ndani ya ukumbi uliojaa halafu anapata matatizo unailaumu serikali??????
 
Hata milele na daima hakuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye yupo tayari kukipa chama cha kidini ambapo ni kinyume cha katiba kuongoza nchi. kimepambwa na waandishi wwa habari kwa sababu ya waandishi na wahahriri ni waumini wao. kura yangu no please. kura za wasio wanachama wa imani no please. weende kwenye nyumba zao za ibada. kwa hiyo hakuna cha 2020 wala 20000

Kaka huogopi???
 
Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom