ya wapi hii code no?

Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
613
128
+120249234...? naomben msaada wenu kuna mtu kanpigia na no hii nataka kujua kama ni ya nnje au vp?
 
+1 ni usa

Sema unaweza kuta mbongo katumia server za usa kukupigia ili ujue katoka usa, mfano interntet calling
 
chief tafadhari nielekeze namna ya kutumia server ya nje ili ionekane nimepiga simu toka nje.
 
Tafuta service yoyote ya internet call mfano vyke tumia kupiga.

kama upo serious zipo namba za online ambazo zinauzwa unachagua nchi mfano hio usa and then hio namba yako inaunganishwa na namba yako ya tz mtu akiikol ile namba inaita kwako tz bila yeye kujua then unakua umetrick watu

Sometime inatokea unaweza kupata hizo namba bure pia
 
Vitu vyote hivi unaweza kuvifanya kwa lengo gani?
 
Vitu hivyo ukivifanya utafaidika na mambo yote ambayo mtumiaji wa simu wa marekani atafaidika nayo mfano:

-kupata offer mbalimbali anazopewa mwananchi wa marekani tu
-kuweza kuregister acount na ku subscribe huduma mbali mbali za wananchi wa marekani
-kudanganya watu kama mademu hivi kua huishi tz ili wakupende haraka
 
+120249234...? naomben msaada wenu kuna mtu kanpigia na no hii nataka kujua kama ni ya nnje au vp?

USA and CANADA lakini pia kuna wenye simu aina ya THURAYA wanazo codes hizo hapa nchini wanatumia simu hizo zenye mawasiliano moja kwa moja na setlite za nchi hizo zilizoko angani.
 
Vitu hivyo ukivifanya utafaidika na mambo yote ambayo mtumiaji wa simu wa marekani atafaidika nayo mfano:

-kupata offer mbalimbali anazopewa mwananchi wa marekani tu
-kuweza kuregister acount na ku subscribe huduma mbali mbali za wananchi wa marekani
-kudanganya watu kama mademu hivi kua huishi tz ili wakupende haraka

kwa hapo pekundu hata mm umenishawishi chief hasa kwa madem
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom