Ya mwaka: Mbunge Mzanzibari ataka walipwe pensheni

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,854
13,139
Na Florence Majani, Dodoma
Mbunge wa Mfenesini, Nasib Seleman Omar ameitaka serikali kubadili mfumo wa malipo ya wabunge wanapomaliza muda wao na kuweka utaratibu wa kuwalipa pensheni badala ya kuwalipa malipo ya mkupuo.
Omar alisema mabadiliko hayo yatawezesha wabunge kumudu maisha baada ya kumaliza muda wa utumishi wao kutokana na wengi kuishi maisha ya taabu baada ya kustaafu.
Source: Mwananchi, Juni 28, Kutoka Bungeni

Samahani Mbunge Mzanzibari, hii ni kero ya muungano, hukulazimishwa kuja Bungeni.
Na hizo fedha zitatoka sehemu gani ya muungano, ni vema ukaidai kule serikalini kwako for good measure.
At any rate, ukiwa mwanasiasa hiyo si Kazi, ni muundo wa maisha wa kujitolea kutumika na kutumikia wananchi.
Haya mwazao ya Mh. Omar ndiyo dalili ya watu kuingia Bungeni ili wawe mzigo na kujenga utegemezi badala ya kujituma, siasa si ajira.

Halafu mwanasiasa anastaafu vipi kama si kutemwa na wananchi wake wenyewe?
 
Sasa hao wabunge machogo hawalipwi kwa mkupuo ? Hivi unajua kiasi gani anachopokea mbunge kwa mkupuo ,na huyo seriklai yake anayoifanyia kazi ni ya Muungano na sio SMZ ,mi nafikiri katika bunge hakuna umri wa kustaafu ni kushindwa ubunge akaingia mwengine.Bunge huvunjwa kila baada miaka mitano.
 
tatizo la kufikiri kuwa bunge ni ajira na kuna muda wa mwisho wa kazi yake yaani kustaafu na sio kutemwa
Je akikaa mle miaka mitano tuu na wananchi wakamchoka bado atadai alipe pensheni
Yaani wazo lake limeelekea kuwa alipotapa ubunge amepata kazi ya kudumu na sio kutumwa kuwatumikia wananchi waliompa ubunge
Kwake ubunge ni sawa na mfumo wa ajira unapostaafu unalipwa malipo ya kustaafu
 
Jamani amesema lile bunda la mkupuo alipwe kidogo kidogo ,inawezekana anaogopa kurudi nalo maana pale Feri wanakwiba hata kama hela ipo benki.
 
HA ha ha haaaaa hataki malipo ya mkupuo? anipe mimi ntakua nampa kidogo kidogo
 
Hawa ndo wale wauza nazi, ukitaka kununua nazi zote anakataa!
Tabia za kando ya bahari!
 
Sasa hao wabunge machogo hawalipwi kwa mkupuo ? Hivi unajua kiasi gani anachopokea mbunge kwa mkupuo ,na huyo seriklai yake anayoifanyia kazi ni ya Muungano na sio SMZ ,mi nafikiri katika bunge hakuna umri wa kustaafu ni kushindwa ubunge akaingia mwengine.Bunge huvunjwa kila baada miaka mitano.

Mkuu, Mwiba,
Wewe kama walivyo Wazanzibari wengine, you are always are all inward looking, never appreciative of oher views and positions.
That is apart from unpopularity of your own stand.
Na ndio maana tupo hapa kwenye suala la muungano.
It takes two to tango.
Facts speak for themselves.

MWIBA
JF Senior Expert Member

Join Date : 23rd October 2007

Posts : 3,973

Rep Power : 1751

Likes Received:41
Likes Given:0

I rest may case!
 
Mwiba Tunataka sheria itakayowalazimisha wabunge urojo walipwe na SUK mnatunyonya mno waTanganyika.

Sasa hao wabunge machogo hawalipwi kwa mkupuo ? Hivi unajua kiasi gani anachopokea mbunge kwa mkupuo ,na huyo seriklai yake anayoifanyia kazi ni ya Muungano na sio SMZ ,mi nafikiri katika bunge hakuna umri wa kustaafu ni kushindwa ubunge akaingia mwengine.Bunge huvunjwa kila baada miaka mitano.
 
Last edited by a moderator:
Wazenji tuwahurumie bure. Eti jimbo la Mfenesini, you can imagine eneo la kivuli cha mfenesi kuwa jimbo!
 
Back
Top Bottom