Ya Mbunge Rev. Rwakatare ni Kweli?

Mbona mi sioni tatizo hapo
kwani mtu ukiwa huna mme/mke huruhusiwi kuhubiri?
Kwa mtazamo wangu uhubiri hauangalii hayo
mbona mapadri hawana wake na wanashauri mambo ya ndoa!?
 
yule ni mnafiki,siku ya harusi ya mwanae baada ya sherehe pale ukumbini alimuita mwanae pembeni akampa kiasi kikubwa sana cha pesa akamwambia nendeni mkapate vinywaji na vijana wenzio,mwanae ni best yangu so nilikua mmoja wa watu yulioenda kuburudika na kupata vinywaji hadi majogoo
 
Aaaah......haya mambo jamani....watu inaonesha wamefika bei kwa mama rwakatare kwani ana mali za kutosha na wanafikiri anatafuta jibaba la kumpa raha............mkome....mwachieni mali zake naamini hizi ni fitina tu na inawezekana kuna udini ndani yake pia kwani anamiliki vitu vingi sana ........
Kumiliki vingi si kumiliki na ufalme wa Mungu! Hapa ndipo tatizo litakapoanzia!
 
yule ni mnafiki,siku ya harusi ya mwanae baada ya sherehe pale ukumbini alimuita mwanae pembeni akampa kiasi kikubwa sana cha pesa akamwambia nendeni mkapate vinywaji na vijana wenzio,mwanae ni best yangu so nilikua mmoja wa watu yulioenda kuburudika na kupata vinywaji hadi majogoo

Huu ndo udaku wenyewe sasa! Hata kama ulinunuliwa vinywaji; ulikuwepo wakati mama yake anampa maelekezo ya jinsi ya kutumia pesa? Mchungaji huyu hata kama ana udhaifu wake... hajafikia hatua ya kuencourage watu kutumia vileo. Tuwe makini na kauli zetu otherwise this will be a home of poor thinkers aka wadaku
 
I like your post seniorita! We may have to question mama Rwakatare's distiction of religious matters and political fungibility. May be her political involvement is for buffering her wealth enmassing as it has been the case with many of money grabbing aides and family members of the political elite.
 
yule ni mnafiki,siku ya harusi ya mwanae baada ya sherehe pale ukumbini alimuita mwanae pembeni akampa kiasi kikubwa sana cha pesa akamwambia nendeni mkapate vinywaji na vijana wenzio,mwanae ni best yangu so nilikua mmoja wa watu yulioenda kuburudika na kupata vinywaji hadi majogoo

kwa hiyo na wewe ulishiriki kutumbua sadaka za waumini?
 
Unapata umaarufu kupitia maarufu.....ndio maana Shigongo anahangaika na hao hao! lakini wakija mtia mkononi siku moja...........yaani atachekea chooni! Tubilion tuwili!
 
kwa muheshimiwa kama yeye kuambiwa hana mume ni kusema kuwa anazini, lakini yeye ni mchungaji, anaweza kuzini kweli? hawezi hata kufikiria jambo kama hilo, kama anataka kuolewa aelewe kuwa mimi ni single if she is rich:teeth::teeth::teeth::teeth:
 
Nimeshutushwa sana na tuhuma za mbunge wetu wa kuteuliwa Mama Gratruda Rwakatare kuhusu undani wake kutoka katika gazti la kufuatilia mambo ya watu Binafsi yaani ya Udaku yanayotoka Kila ijumaa ikimuhusisha Rev. G. Rwakatare na ndoa yake, ikidaiwa kuwa yeye uishi bila mme na anawajibikaje kushawishi Umma na waumini wake kufuata maadili mema hasa kusuruhisha ndoa wakati ya kwake ilimshinda?
Mwenye hoja karibuni
naomba msaada wenu wana jamvi hivi Sister Au Nun anaweza kuwa Reverend au Padre or Bishop?
 
Mimi ni mkristo lakini mbona sielewi kwa 'mchungaji' eti kuomba fidia ya bil 2 kwa kukashifiwa!!?katika uchungaji wake uwa anatumia kitabu gani?kama ni biblia ni zile zilizochakachuliwa,kwa mkristo safi tena eti 'mchungaji' kuomba fidia mi simwelewi,sasa naamini yaliyosemwa na kiu ni kweli,kwanini nguvu yote hii?na kama ningekuwa muumini wa kanisa lake ningechaparapa.
 
Kila mmoja wetu anachagua mfumo wa maisha anao taka kuishi kwa hiari yake.
 
pamoja na kutojua huyu mama analalamikia nini ni ukweli ulio wazi kwamba kama ni suala la ndoa mme wake ajulikanaye kwa jina la Keneth RWAKATARE HAWAKO WOTE.
 
Anaitwa Mchungaji Dakta Getrude Rwakatare. Udakta wa kuokoteza. Waumini wake wote ni matajiri/mafisadi.

Niliwahi kumsikia siku moja akijitambulisha hivi..."Mheshimiwa Mchungaji Dokta Getrude Rwakatare"!
 
Mimi ni mkristo lakini mbona sielewi kwa 'mchungaji' eti kuomba fidia ya bil 2 kwa kukashifiwa!!?katika uchungaji wake uwa anatumia kitabu gani?kama ni biblia ni zile zilizochakachuliwa,kwa mkristo safi tena eti 'mchungaji' kuomba fidia mi simwelewi,sasa naamini yaliyosemwa na kiu ni kweli,kwanini nguvu yote hii?na kama ningekuwa muumini wa kanisa lake ningechaparapa.

kwani wao walitumia kitabu gani kumuandika gazetini? au hawana dini? LOL!!
 
Back
Top Bottom