kijana tumia barua kuleta malalamiko yakojana ukaleta thread iliyojaa ushalobalo nikategemea utajirekebisha leo tena umekuja na uhalo mwingine!!!!!! Inaonekana wewe ni mgeni kwenye hili jukwaa la jokes au umenunua computer mpya unaifanyia test mana kila mtu akipost unajibu onsport as if huna kazi nyingine za kufanya! Soma na thread za wenzio sio unatoa mimacho kwenye post zako tu, mkatauharishia jana na nguruwe wenu ngoja nione leo mtatoka na gia gani! Usijisumbue kunijibu maana sina mda wa kupoteza kujibizana na teja!
basi we mtabiri