Elections 2010 Ya kivuitu wa kenya kutokea tanzania?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
M/kiti wa tume ya uchaguzi wa TZ alipoulizwa kwanini matokeo ya urais anayotangaza yanatofautiana na yaliyobandikwa kwenye vituo alijibu kuwa hayo yaliyobandikwa hayajahakikiwa kwani wanaohakiki ni TUME.Je kuhakiki ni kubadilisha tarakimu?Wanaofahamu watujuze.
 
Kuna mtu alipata kunambia kuwa kuna sensor fulani inayotambua mtu anaposema UWONGO...Sijui kinauzwa bei gani kifaa hiki, lakini kingesaidia sana endapo tungemuwekea huyu Makame wakati akionge kauli hizi, maana alikuwa anatokwa jasho sana, na uso wake ulionyesha mashaka!!
Lakini uwongo uzeeni ni mbaya sana, maana unaweza kumrudi kwa kumpa pressure yeye mwenyewe, mkastuka anaanguka!
 
Mzee mwenyewe kachoka kweli hadi wakati mwingine anakumbushwa mambo kutokana na kusahau wakati anatangaza matokeo.Kwanini alikataza matokeo ya urais kutangazwa kwenye vituo wakati yamebandikwa vituoni?
 
Mwenyenzi Mungu aishivyo uongo wake utamrudi mara tu akimaliza kutangaza matokeo yake ya uongo.
 
Back
Top Bottom