ya Kisena inakuwaje?

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Jamani huyu jamaa alimtandika makonde OCD kule Maswa, nimesubiri sana kesi siisikii. Lazima tuchukue hatua, la sivyo tutaonekana wote sisi ma**** kwa kumwachia mtu mmoja acheze na sheria.
 
Makosa ni kwa wengine,lakini "sisi M" hatuna shda sheria iko kwetu! si ndo wenye "inji"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom