Ya kaizari apewe kaizari

mringi

Member
Apr 4, 2012
99
22
Kwani si kweli Imeandikwa siku sita tumtumikie Kaizari na siku ya saba tumpe Mungu,je nihaki Tanzania kuiweka siku ya jumapili kuwa siku ya kupiga kura?.wana hakika gani ni Wakristu wangapi wakotayari kuacha kumpa Mungu siku hiyo ili wakamchague bwana wa dunia?.Ni ukweli usiopingika uteuzi wa siku hiyo ndiyo imechangia wapigakura kutojitokeza siku hiyo pindi kunapotokea uchaguzi, Tushauri chaguzi ziwe zinafanyika siku yoyote isiyoambatana na siku ya sala, kwa muumini wa dini yoyote,tuondoe aibu ya viongozi wetu kuchaguliwa na 40% ya wapiga kura,Au kuna nini?
 
Uongozi wa Freemasons hauna DINI. subiri usikie dhabihu za damu zikitolewa kwa njia ya ajali za ajabu km MV Bukoba. Nchi inahitaji ukombozi hii alaa!!
 
Back
Top Bottom