Ya jairo ndo yameisha? Na je waliopewa barua ni akina nani???

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Kwanza kabisa nichukue fursa hii kumshukuru sana mama shelukindo kwa kutufungua macho juu ya yale yaliyofanyika wizara ya nishati na madini chini ya mwanna william, sina uhakika saana naka muheshimiwa mukulu na mkuu wa wizara hii hawajui kilichokuwa kinaendelea juu ya hili na kwa rtaalifa ni kwamba hako kamchezo kamefanyika kwa takribani miaka 4 na jairo kashiriki mara 2. najiuliza sana je watanzania ipo siku watakuwa wazalendo wa nchi yao kama haya mambo yanatokea na bado mkulu jhasemi chochote hata ka suala lipo chibni ya uchunguzi?????ha ha ha ah! tanzania, ni mambo mengi yamefukiwa tukidanganywa na uchunguzi mara tume mara michakato na tuvute subira lakini mwisho hakuna kinachoendelea! sio kwamba watanzania hawajui, no! tunajua sana! rai yangu kwa watawala!amani tunaichezea na itatughalimu ka hatutakuwa makini na kutibu madudu yanayoonekana bayana na yasiyoonekana!

TUNAOMBA HAKI ITENDEKE JUU YA SUALA LA RUSHWA NISHATI NA MADINI!
 
Kwanza kabisa nichukue fursa hii kumshukuru sana mama shelukindo kwa kutufungua macho juu ya yale yaliyofanyika wizara ya nishati na madini chini ya mwanna william, sina uhakika saana naka muheshimiwa mukulu na mkuu wa wizara hii hawajui kilichokuwa kinaendelea juu ya hili na kwa rtaalifa ni kwamba hako kamchezo kamefanyika kwa takribani miaka 4 na jairo kashiriki mara 2. najiuliza sana je watanzania ipo siku watakuwa wazalendo wa nchi yao kama haya mambo yanatokea na bado mkulu jhasemi chochote hata ka suala lipo chibni ya uchunguzi?????ha ha ha ah! tanzania, ni mambo mengi yamefukiwa tukidanganywa na uchunguzi mara tume mara michakato na tuvute subira lakini mwisho hakuna kinachoendelea! sio kwamba watanzania hawajui, no! tunajua sana! rai yangu kwa watawala!amani tunaichezea na itatughalimu ka hatutakuwa makini na kutibu madudu yanayoonekana bayana na yasiyoonekana!<BR><BR>TUNAOMBA HAKI ITENDEKE JUU YA SUALA LA RUSHWA NISHATI NA MADINI!<!
 
Back
Top Bottom