Ya jairo kimya, ernest malima kimya, wanyama wetu kimya, ngeleja na sasa luhanjo na msekwa!

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
1.Report ya jairo imewasilishwa siku nyingi na CAG na jamaa kakaa kimya na sitegemei lolote juu ya hili sanasana pesa zetu zimetumika bila kuserve purpose
2.Sijasikia lolote juu ya tuhuma za naibu waziri wa nishati aliyebadilisha jina na kujiita john ernest malima badala ya adam kigoma malima, si yeye pamoja na kutumiwa msg wala si kauli ya serikali
3.wanyama wetu wametoroshwa tangu mwaka jana na serikali inajua kwani raia mwema walianika hayo matukio hadi mlango uliotumika kuingiza hao wanyama ndani ya ndege, pamoja na radar tuliyonunua kwa pesa nyingi bado haikuweza kudetect ndege ya qatar airways??kitu ambacho sikiamini na kuna mambo mengi hapo na serikali amabyo iko serious watu hao wote ilitakiwa wafukuzwe!
4.ngeleja amehusika kwa kiasi kikubwa kwa utendaji wake legelege hadi nchi kufika hapa, na bado haoni kama hastaili kuwa waziri, si serikali kusema lolote juu ya hili wala si yeye kuona aibu na kulinda heshima yake anawaza kula,
5.huyu ni mtu ambaye anaitwa bwana philemon luhanjo katibu kiongozi wa ikulu anahushwa mojakwamoja kutoa ajira mbovu kiupendeleo yaani kwa wabena na ni mtu anayejifanya kuwa na intergrity, tusubiri tuone mazingaombwe.
6.bwana piusi msekwa amehusishwa na kuuza maeneo kwa wawekezaji tena kasemwa na mbungu amabaye pia alishawahi kuwac mjumbe wa bodi ya maliasili! na bado anzunguka anwaambia wenzake waachie ngazi kisa wamekosa nidhamu na ufisadi wao hali yeye ni walewale!

sasa kama hawa ndo viongozi waliopewa dhamana ya kutufikisha aehemu nzuri yenye kuleta unafuu kwa watanzania je tutegemee chochote toka kwao???

my take.haya mambo watanzania tunayaona na tunajua nini kinaendelea, wabunge wamesema wengi kisa wapinzani wameombwa ushahidi na wameupeleka, na kati yao ni lema-waziri mkuu muongo, zito mawaziri wameongwa, lisu, na wengine wenginlakini kama kawaida ya serikali kukalia report na ushaidi unaoanika maozo yote wamekalia, ipo siku mbivu na mbichi zitajulikana in either way!

nawasilisha
 
NAOMBA KUJUA, HII NCHI KWELI YA KISANII,

Vipi tuhuma za ufisadi wa viwanja kule Arusha unaomhusu RZ, vipi mradi wa viwanja hewa -kinyerezi?. Haya, tuacha nature ichukue mkondo wake.
 
ningali natafakari hii hali maana wizara ya nishat na ya maliasili kuna mazito
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom