Ya Igunga Yatokea Arumeru Mashariki, Omary Apotea

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494
Katika Hali Ya Kusikitisha Na Kushangaza Mkereketwa Na Mpenzi Wa Chadema Omary Amepotea hajulikani alipo kwa kwa muda sasa.
Kwa walioko Arumeru Mashariki Omary ni yule kijana anaevaaga Kanzu ya Chadema katika mikutano mingi ya. Kampeni.

Hope atapatikana soon akiwa mzzima.
 
Usalama wa ccm wanajua alipo.
Wakija kutuletea kama za Balali eti alijizika mwenyewe Patachimbika!
 
Nilijua yatatokea haya baada ya kusikia BWM anazindua kampeini!!
Huyu jamaa namuogopa kuliko UKIMWI!! Kama huamini muulize Mwakyusa kuhusu kifo cha Baba wa Taifa!!
 
Aulizwe Beno malisa,ni saspect.Naskia alikuwa nae usiku triple A pakatokea mabishano akawaamuru wapambe wake wamshughulikie.
 
Na huyu naye? Wanataka kumtoa kafara,au tambiko la ushindi wao hao chinjachinja? Mungu na awalaani kabisa endapo kama watam Nyerere,kama ilivyo kawaida yao.
 
Aulizwe Beno malisa,ni saspect.Naskia alikuwa nae usiku triple A pakatokea mabishano akawaamuru wapambe wake wamshughulikie.

Kuhusu Benno kuhusishwa nimeisikia pia, Watu wanajipanga jinsi ya kumpata Omary na kujibu mapigo.
Wanasema wanamtaka Ommy akiwa mzima lasivyo itakuwa tofauti kidogo.
 
Kuhusu Benno kuhusishwa nimeisikia pia, Watu wanajipanga jinsi ya kumpata Omary na kujibu mapigo.
Wanasema wanamtaka Ommy akiwa mzima lasivyo itakuwa tofauti kidogo.

Ama kweli hawa sisiem ni janga jamani kwa jamii yote ya Nchi yetu!
Ila hapa Meru safari hii itawavunza adabu.
 
Back
Top Bottom