Ya balali: Alianzisha mtu imepotelea sijui wapi...

Highlander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
3,093
1,075
Naomba kuileta upya...

fuata hii link Twitter

@daudibalali

Tweeting From Jersey Island For Tanzanians Around The World. Nitasema Kweli Daima. Am psychologically unstable.

Jersey Island ·
Follow

262 Tweets
813 Following
1,343 Followers
 
Humu ukitaka kuanzisha thread sensitive lazima uwe na influence na experience,mimi wakuja nimejaribu kuweka maswala kama yalivyo bila kutia chumvi wala nini.Wameichukua kimyakimya bwana.
That is how the cookie crumbles in JF.
 
I have liked it!

Cha ajabu, JK, EL, RA na wengine wanachambuliwa humu kama karanga, threads hazitolewi.
Ikija ya Balali watu viroho juu, kwani kuna siri gani?
Watanzania hatuna haki ya kujua ukweli???????
Ndio maana watz wanaamini kwamba jamaa hajafa kama watavyopigwa changa la macho, maana issue zake zinaleta mcheche sana!
 
Back
Top Bottom