Xmass is coming are u prepared!?

Mmasi

Senior Member
Oct 26, 2011
164
15
Hey Jf members kwa wale WACHAGGA saa hv wanajiandaa na kujikataa katika area zao mbuzi wakutosha KISUSIO kwa wamachame! Nakwa wale WASUKUMA sa hv ndo makg ya mchele ndo wanunua! Je wapendanao vp? Utakuwa viwanja vp? Na WEWE KAMA MKRISTO UNAJIPANGE JE KATIKA MAISHA YA KIROHO?
 
mkuu,kichwa cha habari bora ungeandika kwa kiswahili, utata mtupu
 
ungeandika kitu kama hikiii Xmas is coming; are you prepared? Au Xmas is coming; get prepared! nafikiri ulikuwa una maanisha kuuliza kama tumejiandaa na Xmas.

Topic nzuri though.
 
Umeanzisha hii thread kulenga wachaga au, we mmasi mchaga wa machame nkuu, unataka kuleta umangi hapa?
 
Halafu kuna mahali nilisoma/kusikia unaposema x-mas maana yake upo kinyume na kristo na ni neno au msemo ulioanzishwa na freemasons ndiyo maana uovu mwingi unafanyika siku hiyo ili kuthibitisha uo u-anti christ. Wenye/mwenye uelewa zaidi anaweza kuelezea zaidi.
 

Attachments

  • fbi-task-force-usa-series.jpg
    fbi-task-force-usa-series.jpg
    27.1 KB · Views: 27
Back
Top Bottom