Xbox 360 vs playstation3 nani mkali?

gharama ni kama ifuatavyo zote nime estimate
gharama za games
-Nintendo wii ni sh 252,000
-Ps3 ya 160gb ni sh 334,320
-Xbox 360 sh 184,800

Nintendo wameshusha game maana wanarelease game jipya wii u ambalo bei ipo estimated laki 6.

controller au pad
SH 7000 ZOTE MTUMBA.
-zinarange sh 30,000 hadi 40,000 original na wireless

bei ya cd
Hapa inakua ngumu kutokana na aina ya game tuchukue sample fifa2012
Ps3 fifa ni 57,000 according to amazon
Xbox ni 80,000
Wii wao ni 75000

Kama huna hela kama mimi fanya hivi
-Game buree download dolphin emulator kwenye pc Download Dolphin
-pad ni keyboard yako
-cd ni internet yako na mda wa kudownload
 
oya chief..bongo nitapata wap,pre owned ps3..kwa bei chee,pamoja na cds..
 
Me naona Pad za Wii ziko fresh kwenye games za sports kama vile Golf, cricket, bowling na racing
 
Swali zuri kama hili sijui ilikuaje likakosa jibu

Ww Umelipatia Jibu???

Owka Skuiz Vtu Used Kupata Kibongo bongo ni easy Sanaaa!! kwanza Kuna website Znazo Uza Used Gadgets Mfano
-Tanzanians online shopping market place - inauzwa.com
-Tanzania Online Shopping gateway
-Tanzania Classifieds | Tanzania Online Shopping

pia Unaweza Kupata Vitu Used Pia Katika Facebook !! kuna watu wametengeneza Groups Ambapo watu Hupost Bidhaa Wanazo Uza kama simu, Pc, Ps, na Mazaga Kibao!! ila Jihadhari Maana Tanzania Ujanja Mwingi Mkuu
 
Mungu!!!! nurbert umeona jamaa anauza xbox 1.4 Million? kaah. sijui ndo na mi sasa niskume yangu :biggrin:
 
Last edited by a moderator:
gharama ni kama ifuatavyo zote nime estimate
gharama za games
-Nintendo wii ni sh 252,000
-Ps3 ya 160gb ni sh 334,320
-Xbox 360 sh 184,800

Nintendo wameshusha game maana wanarelease game jipya wii u ambalo bei ipo estimated laki 6.

controller au pad
SH 7000 ZOTE MTUMBA.
-zinarange sh 30,000 hadi 40,000 original na wireless

bei ya cd
Hapa inakua ngumu kutokana na aina ya game tuchukue sample fifa2012
Ps3 fifa ni 57,000 according to amazon
Xbox ni 80,000
Wii wao ni 75000

Kama huna hela kama mimi fanya hivi
-Game buree download dolphin emulator kwenye pc Download Dolphin
-pad ni keyboard yako
-cd ni internet yako na mda wa kudownload

Uzi wa mda ila kuna kitu nataka msaada hapa nataka nianzishe ka biashara ka Gaming mtaani sasa naomba ushauri kati ya PS na X box ipi ni inafaa kwa biashara mkuu interms of durabiliy,games availability hata kama kwa free au cracks,graphics,reasonable price console,comfortability na vingine ambavyo unaweza nishauri kulingana na hii biashara ya mtaji wa kawaida tu mkuu hivo ndo maan nataka nizingatie unafuu hasa nianze na tv mbili so unanishauri vipi hapo na je kama PS au Xbox aina ipi ni nzuri na wapi naweza pata.ahsanteh
 
mtaani watu wanacheza ps2, labda kama unataka ku advance mwenyewe na kuchezesha console za kisasa.

naona.zote ps3 na xbox 360 zinafaa, itategemea ipi utaipata rahisi sababu common games kama pes, fifa na gta zinapatikana kote kote.

angalia bei ya ps3 na xbox ambayo wameshaihack tayari ambayo ni rahisi chukua.
 
Unaweza nisaidia hilo mkuu kupata hiyo site mi nataka ni advance kidogo nipate kama x box na ps2 ili kuleta changamoto na competitors wangu
 
nenda kupatana mkuu, uhakika 350,000 unapata ps3 au xbox 360 ambayo imeshakuwa chiped, ila ukitafuta vizuri unapata chini ya hapo, naona xbox hadi chini ya laki 2, ila ujue mkuu kuna xbox na xbox 360, unayotakiwa kuitafuta wewe ni 360 hio nyengine haikufai.
 
Ina maana hizi chiped nitakuwa napakua game kwa mtandao tu bila kununua ma cds
 
nenda kupatana mkuu, uhakika 350,000 unapata ps3 au xbox 360 ambayo imeshakuwa chiped, ila ukitafuta vizuri unapata chini ya hapo, naona xbox hadi chini ya laki 2, ila ujue mkuu kuna xbox na xbox 360, unayotakiwa kuitafuta wewe ni 360 hio nyengine haikufai.

Na ukiacha brother in army katika android game lipi zuri lenye uhalisia na kali zaid hili la kivita?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom