x wangu anaomba nikamfanyizie jamaa yake wa sasa kisha turudiane

wakuu,kuna hiki kisa cha ajabu,haka kademu nilikua nako kipindi tu nimeingia ubatani,kisha nilikaacha kwa ajili ya mizinguo ya wazazi wake nikaendelea na mitikasi yangu ya kusaka maisha.tulikua tunapendana sana na bado tunapendana toka tuachane,na huwa siku zote tunawasiliana vizuri tu,sasa leo kameleta mpya,kwamba jamaa kaliyekuwa naye baada ya mimi kukatosa naye amekaumiza kiaina,sasa sijui kamemfumania au vipi?sasa hapa kanataka kuniingiza mkenge nikamchape jamaa kisha ndio kakubali kunisamehe turudiane,wakuu bahati mbaya sina njaa ya wachumba ila tu napenda kuwa karibu na haka kabinti,hapa mtegoni kwamba nikamfyatue jamaa hilo halitawezekana,ebu naombeni ushauri nifanyeje hapo au nimshauri vp huyu x wangu?maana nakaonea huruma sana na nakapenda sana,yaani mpaka najiuliza ingekua bongo huyo jamaa kwakweli angekua pabaya,sio huku



what goes around comes around, na wewe siku moja hako unakaita kabinti katatuma jamaa wa kukufanyizia so akili kichwani mwako.
 
Usijetolewa nishai tu.Ukute jamaa ni baunsa akutandike kisawasawa utasema umenunua ugomvi wa nini?
 
Back
Top Bottom