Kuanzia jana saa 12 asubuhi hatuna umeme hadi saa hii.
Tanesco ukipiga wanasema wanakuja kuanzia jana.
Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele.
mwanza
Kweli kimekuuma... hadi umeamua kufungulia thread. Pole sana Kongosho. nitakuja kukutembelea, mimi nina kisu kina tumia mkaa. lol
poleni sana!hapa mtaani kwetu wamekata maji yaani kero kweli!
ni bora kusheherekea ukiwa kijijini kabisa ambako wanatumia vibatari kuliko hii
nazunguka zunguka tu ndani kama samaki katolewa kwenye maji
hivi hamna mmbeba mabox anayeweza nikaribisha kwake leo.
Huoooooooooo!
Duh, umerudi baada ya masaa 30.
hapo kwenye red hapo ndo patamuKuanzia jana saa 12 asubuhi hatuna umeme hadi saa hii.
Tanesco ukipiga wanasema wanakuja kuanzia jana.
Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele.
Poleni sana mkuu, hivi Rais hasheherekei krismasi?Kuanzia jana saa 12 asubuhi hatuna umeme hadi saa hii.
Tanesco ukipiga wanasema wanakuja kuanzia jana.
Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele.