(X) boy/gal friend wako utamwita nani?,ukiwa unasalimiana nae kwa text or mail.

Wala mie siwaangalii watu.:spy:

Kongosho hii ni nini tena?humwangalii nani hapa jamvini? Kwani una mtalaka wako yuko hapa jamvini anakuita sivyo na unamsubiri uone ataandika nini jinsi anavyokuita?
 
We mwenyewe mtalaka tosha
Afadhali umeniita jina langu
Kongosho hii ni nini tena?humwangalii nani hapa jamvini? Kwani una mtalaka wako yuko hapa jamvini anakuita sivyo na unamsubiri uone ataandika nini jinsi anavyokuita?
 
Jina lake, mambo ya switie, honey cjui darlin ya kazi gani na huyu aliyem'replace aitwe nani sasa....
 
Uzuri mie tuachane kwa mema au ubaya huwa hakuna cha text,mail wala calls...
Tukikutana popote ni majina yetu tu!
 
Mimi huwa nawaita rafiki kama ninavyomwita mlinzi wangu wa kimasai hapa lol au zaidi buddy. Kama anakuita shangazi labda ameona umezeeka lol
 
nadhani ni vyema kuitana kwa majina ila kama still una feel hali tofauti utamwita dear
 
Ila watu wanaachana jamani, duh! Kuna binti niliwahi kuwa naye yeye alikuwa na ma - X kadhaa. Mimi niliwashtukia watatu. Sijui walikuwa active, maana alikuwa anabadili badili majina yao kwenye simu yake!
Ikafika kipindi tukaachana. Sijui na mimi amenisevu vipi maana kuna wakati huwa ananisumbua kwenye simu!
 
anakusumbua,anakutaka tena au?
 
Back
Top Bottom