(X) boy/gal friend wako utamwita nani?,ukiwa unasalimiana nae kwa text or mail.

marida

Senior Member
Oct 27, 2011
168
20
Ukiachana na mpz wako,not kwa mabaya,may be kampa mtoto wa watu mimba,na kalazimika kuoa,au anakuwa na gal mwingine,hivyo mnatengana.Pindi unapomsalimia,utamwita nani?,huyu xboy wangu ananichekesha sana,jina analoniita,sijui ndiyo heshima,simuelewi.
 
mi wangu wananiitaga jina langu coz nawachimba mkwara wanapotaka kuniita hny
 
Mara nyingi ananiita aunt.jaman!khaa...bora ataje jina langu!.sijui wenzangu mnaitwaje,labda npo nyuma ya dunia.
Hahahahaha, nooooo! akikuita hivo wewe mwite to dia kama kawaida! lol
 
Huna jina lako?

Siwezi kumuita swit names,but i would rather kal his name.

Nna jina lizzy,but aunt?mi aunt yake!mmh!...

Imebidi niulize,maana kwa kiswahili ananiita shangaz,
 
Akuite jina lako, aunt, dada, full stop! Wewe muite jina lake, kaka, uncle...baaasi. Mambo ya kuitana yale majina yenu ya enzi zileee, mwisho wake mtashawishika kukumbushia...mkome kabisa!
 
mkuu hadi huku mtaa wa saba unafika..
 
Siwezi kumuita swit names,but i would rather kal his name.

Nna jina lizzy,but aunt?mi aunt yake!mmh!...

Imebidi niulize,maana kwa kiswahili ananiita shangaz,
Sasa kama unalo kwanini usimwambie akuite kwa jina lako? Kama hufurahii mtu anavyokuita, kuongelesha, kuongelea mweleze ukweli kwamba hupendi.
 
Siwezi kumuita swit names,but i would rather kal his name.

Nna jina lizzy,but aunt?mi aunt yake!mmh!...

Imebidi niulize,maana kwa kiswahili ananiita shangaz,

Khaa! makubwaa, leo umekuwa aunty yake...mwite uncle na wewe uone ata-react vipi..!

Mimi hata mpenzi wangu wa sasa ananiita jina langu nami namwita lake..mara chachee kuna vionjesho ila si kivile!!..akiniita Belinda wangu nafurahi zaidi ya sweetheart.
 
Kwa nini usiandamane kwa kuitwa shangazi?
Jamani, some men are hulu hulu huluh uhlu.
 
Ukiachana na mpz wako,not kwa mabaya,may be kampa mtoto wa watu mimba,na kalazimika kuoa,au anakuwa na gal mwingine,hivyo mnatengana.Pindi unapomsalimia,utamwita nani?,huyu xboy wangu ananichekesha sana,jina analoniita,sijui ndiyo heshima,simuelewi.

Kitope Call them Xs, Dear! eg. Dear Marida!! how does that sound?!? hata huyo new brave heart hatomind inakuwa something in between.
 
Back
Top Bottom