Wtf

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,332
WTF.......
Haya ndio majibu ya urefusho wa abrv WTF.

1. Wewe Tu Fukara= hii niliikuta pale Tandale kwa muuza popo.

2. Watu Tuna Fedha = hii niliikuta pale Magomeni kwa Mchambia kisu

3. Wagumu Tunavyo Funika.= hii niliisikia Majohe kwa Mpiga kwenzi

4. Wafungwa Tuna Fanyana = hii niliisikia kwenye gereza la Cameroon

5.
Ahhh da nimesahau mengine, mwe......
 
WTF=Wantanzania Tunaibiwa Fedha (vyama vya upinzani)
WTF=Watanzania Tunapenda Fitna (Ikulu)
WTF=Wenzako Tunaiba Fedha (Bot/TRA/Nishati na Madini)
WTE= Wote Tuna Furaha. (Mapweza fc)
WTF=Wapenda Tunguli Fahamianeni(shinyanga)
WTF=Wezi Tuko Fasta(Manzese). Nalog off
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom