Elections 2010 Wtanganyika niwachoyo wa Z'bar kuibinya kiuchumi na kimaendeleo, wao huvutia kwao tu.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=1][/h]Written by amini // 19/06/2011 // Habari // 4 Comments

akaguagesi-400x272.png
Mafuta ya Z'bar nimali ya Muungano jee Gus ,Almasi,Zahabu,Makaa ya mawe na minaral nyengine za Tanganyika ni mali ya Muungano?

Mafuta ya Z'bar nimali ya Muungano jee Gus ,Almasi,Zahabu,Makaa ya mawe na minaral nyengine za Tanganyika ni mali ya Muungano?

Wtanganyika wachoyo Gus ya Song Songo sio ya Muungano lakini mafuta Muungano huu Ujuh wa Smz kuna faida gani ya Muungano.

Kuna habari kuwa viongozi wa ngazi za juu wa ccm/smz wakishirikiana na
Spika wa Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar Pandu Ameri kificho lengo
hasa la sera zao nikukubaliana na sera ya Serekali moja ambayo Zanzibar
itakuwa haina nafasi yoyote kuwa nchi.
Hivi sasa tupime Wzanzibar Zanzibar Wtanganyika wana i-treat kama ni
nchi au mkoa wa Pwani ya Tanganyika? Wzanzibar munajuwa maana ya
Tanzania Zanzibar? Maana halisi ni Tanganyika Zanzibar, nisawa na Kusema
kiungo cha Muungano ni Rais wa Zanzibar kikatiba? lakini nikweli hili?.
Jiulize Raisi wa Zanzibar na makamo wa Raisi wa Muungano Bilali Haribu
kipi ndio kiungo cha Muungano? kama ni Bilali jee Bilali kapata ridhaa
ya Watau wa Muungano ambao ni Wzanzibar wenyewe?.
Hii yote ni kutusheza shere Watanganyika na kujifanya wao wana akili
nyingi(kuduibia kimacho macho), lakini hii inakuja vipi? hii inakuja
kutokana na viongozi wetu wa ccm/smz kukumbadia ilani ya chama ambayo
inaingilia mpaka mambo yasio ya Muungano na kuwakabizi zima na jukumu la
nchi ya wananchi wa Zanzibar kubebecha Kada wa ccm/smz waimalize
Zanzibar wenyewe kwa kuwa foolish kimawazo.
Wzanzibar munawafikiria vipi wanafki ccm/smz wanaposimama ktk Baraza La
Uwakilishi na wakasema Muungano una kasoro na unainyoyo Zanzibar kuto
kupiga hatuwa za Kiuchumi na kimaendeleo?.
Kimtazamo wangu wanayo iuza Zanzibar niwa Zanzibar wenyewe ambao ni
ccm/smz kutokana na njaa zao na kuhisi riski zao zinatokana Dodoma.
Ktk mswada wa sheria ya katiba ni kwa nini mamuzi yote ya pangwe upande
wa pili na Rais wa Tanganyika awe na mamuzi makubwa hali yakuwa suala la
katiba ya Muungano halina mkubwa wala mdogo kwa vile ni nchi mbili
zilizo ungana?.
Jee viongozi wetu wa Baraza la Uwakilishi wako wapi kuinusuru Zanzibar
kuzalilishwa kama hivi? au wanauogopa kupeleka mswada katika wajumbe wa
Baraza kwa kumuogopa Kificho kuzuia? huyu Kificho nikama nani ktk hatma
ya Wzanzibar wenyewe? kama ni nchi nyingine huyu Kificho basi ingeku
ameshapigwa risasi lakini uwezo wa Wawakilishi upo wa kum-kick out huyu
fisadi uko.
ikiwa mumeshindwa kuikinga Zanzibar kura ya maoni iko turudishieni
Wzanzibar tuamue hatma ya nchi yetu kama nyiyi muna oneleana muhali au
haya? lakini tu Mukumbuke muhali wa mtu na mtu kwa kuto kufanya
uwadilifu basi azabu ya Mungu ni kali na niyenye kumuza.
Nasaha za Wzanzibar kuwaonya viongozi wa ccm/smz zimesha fanyika nyingi
na hivi sasa tumeweka mikono juu kungojea hukumu ya Allah, kuwahukumu
anavyo juwa yeye.
Jukumu la uongozi liko mpele ya zima ya M/mungu kwa hio kila mchunga
ataulizwa alicho kichunga, kwa hio na nyiyi mutasaidiwa na ilani za
Dodoma na sera za Chama.
 
mlishaambiwa na mkulima kwamba vunjeni muungano tuone nani atakayeumia.Sijui mnasubiri nini.Nyie si nchi wasiwasi wa nini?
 
Tunawaomba wazanzibari chonde chonde acheni chokochoko zenu za kuwanyanyasa wabara walioko huku.Tuwachomea vibanda vyao vya biashara na makanisa mnaanzisha vita.Kwani tumeshakuwa maadui kiasi hicho.Acheni hizo bana!
 
Back
Top Bottom